Baadhi ya wadada ni mizigo katika mahusiano!

Baadhi ya wadada ni mizigo katika mahusiano!

1. Ni kabila gn?!
2. Umejuaje hajui kukata kiuno? Aliyekua anakukatia kwann hukumuoa!?

kabila lake nazani sio kigezo cha yeye kuwa hivi ila jina la kabila ni sugarcane(kama hvo yani)
teh teh teh kukata kiuno mbona kunajulikana nawe KakaJambazi
 
Last edited by a moderator:
Sometimes some people are addicted to a problem. May b for some reason u are addicted to such gals..

yah! Kuna mambo ananikosha sana .... hajui kukasirika , hata umkosee atakutafuta na kuomba yaishe kwa upole
that is all she drive me... anajua kubembeleza
 
yah! Kuna mambo ananikosha sana .... hajui kukasirika , hata umkosee atakutafuta na kuomba yaishe kwa upole
that is all she drive me... anajua kubembeleza

Khaaa sasa asipobembeleza ataishije mjini...msichana tegemezi hawezi kuwa jeuri hata siku moja
 
Hahaha, kosa ni lako mwenyewe. Umezidi utamu. Sasa yeye afanyeje?

hilo ndo tatizo...
gharika la Mbeya ndani ya jangwa la Sahara, ni kama lashalasha!

Aliyesema kina hiki sicho..hakika yuko sahihi kabisa!
mkuu mi niko fiti kama SALENDA BRIDGE
JF dokta wananijua
 
hata nyie wanaume wenye tabia hizo mpo sana.... kwa wanawake ukimpenda mwanaume unajitoa kwa kila kitu.. aseme nini usimpe? hasa kabila letu lile ukipenda umependa. kuna wanaume ambaye ukiachana nae anakukumbuka kwa vingi tu tena mnooo
 
nashukuru nawe mwekundu umeliona hili, wanajua wao ni kufanywa tuu...sio wao wafanye!

hawafanyi lolote lile khakikisha penzi linadumu ,unakuta bed 0,economically amekaa kama parasite so why nisikupoteze and find another parasite?
 
miezi 4 tu mmeshagegedana hadi kuchokana loh :wacko::wacko::wacko::wacko::wacko:
 
yah! Kuna mambo ananikosha sana .... hajui kukasirika , hata umkosee atakutafuta na kuomba yaishe kwa upole
that is all she drive me... anajua kubembeleza

Na ulivyosema hata ukimuacha huna cha kumkumbukia, kuna watu wanakatiwa viuno na hawapati hiyo kubebelezwa wanawatafuta wa hivyo, jifunze kuridhika, upewe kilakitu we nani
 
sorry hivi dada analalamika kuwa perfomance yako ni poor na wewe unaangalia gharama unazotumia kwake he he:A S wink:
 
Majigo unaongea kwa uchungu na hasira pole lakini naona kuna kitu kinaendelea inawezekana kadadaa kana aibu sana au kweli anaishiwa nguvu ya kufanya hayo mambo kwa wakati huo na pia may be hakufeel sana kwahiyo haoni kama kuna haja ya kuhangaika na wewe!
 
msichana tegemezi hawezi kuwa jeuri hata siku moja

umenibadirisha sanaaa..kwa kauli yako huyu dada sasa anaonja joto la bati
ninampango wa kukamata mdada mwenye kujiweza kiuchumi au hata angalau awe na akili ya utafutaji!
Sio hili simiko , kitandani zinhro, kiuchumi pia zinhro....hili si zigo la kujitakia hili!

Thnx Khantwe
 
Last edited by a moderator:
miezi 4 tu mmeshagegedana hadi kuchokana loh :wacko::wacko::wacko::wacko::wacko:

hata siku moja inatosha kuchokana na kuachana!...kudumu ni matokeo ya vile manavyoendana na kuridhishana!
 
Na ulivyosema hata ukimuacha huna cha kumkumbukia, kuna watu wanakatiwa viuno na hawapati hiyo kubebelezwa wanawatafuta wa hivyo, jifunze kuridhika, upewe kilakitu we nani

amekuwa mtu wa kunitegeshea Nyuchi tu, nifanye ntakavyo..hajishughurishi kwa lolote
kubelezwa hata zeze nitanunua
mwanaume hata zawadi hapewi! ...kha!!
 
namlia tyming , mtu unamwambia baby kaa hivi..baby njoo kwa juu...anasema hawezi
kwanza naona ananipotezea mda wangu na hela zangu bure tu!

ahaaaaaa tunachoshwa na mikunjo mtu unambinua had anakosa pumzi inahusu
 
Back
Top Bottom