Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,453
- 54,926
Wenye experience na mahusiano watoe tamko
nitajaribu ma dea ila ananipa hasira sana
hasiponielewa naondoka kimyakimya!
Ucjali atakuelewa tu ni mambo ya kuelekezana tu basi hope atajitahidi
sio dent mkuu, ni mtu mzima kabisa, hata kiuno hajui kukata...ni tabu tupu!
Polee sana...leo ni jumapili..jizuie kukasirishwa...tafuta wimbo wa 'what a wonderful world' usikilize
sio dent mkuu, ni mtu mzima kabisa, hata kiuno hajui kukata...ni tabu tupu!
sio dent mkuu, ni mtu mzima kabisa, hata kiuno hajui kukata...ni tabu tupu!
Huo wimbo umeimbwa na nani aisee?
Manake naona hasira zinataka kunizidi nguvu pia.
Nimemshauri dogo kitu, akapuuza na sasa kaharibu matokeo yake hasara imekuwa juu yangu..