Baadhi ya wadada ni mizigo katika mahusiano!

Baadhi ya wadada ni mizigo katika mahusiano!

ahsante sana kiongozi, inaudhi sana hawa wadada wanachowaza wao ni kuhudumia hizo nywele tu!

Ila mwambie kinachokukera you never knw anaweza badilika.. au saa ingine anaona kawaida tu kumbe wewe wakereka.
 
Ulishawah kumweleza hayo unayolalamika?

ndio mkuu imekuwa kazi yangu kumdodosa panapompa mzuka endapo akishikwa..nashukuru huniambia
lakin yeye hajawahi kuniuliza na hathubutu kushughurika na mwili wangu
 
namlia tyming , mtu unamwambia baby kaa hivi..baby njoo kwa juu...anasema hawezi
kwanza naona ananipotezea mda wangu na hela zangu bure tu!
Sasa si ukuache tu?
Au ni member humu ndio talaka ataisoma juu kwa juu?
 
ndio mkuu imekuwa kazi yangu kumdodosa panapompa mzuka endapo akishikwa..nashukuru huniambia
lakin yeye hajawahi kuniuliza na hathubutu kushughurika na mwili wangu

Kama hauliz mwambie unapenda nn
Sio mbaya ukimwambia bby m ukinfanyia hik na kile najisikia vizur atakuekewa tu
 
ndio mkuu imekuwa kazi yangu kumdodosa panapompa mzuka endapo akishikwa..nashukuru huniambia
lakin yeye hajawahi kuniuliza na hathubutu kushughurika na mwili wangu

Si ajabu anaona aibu.
 
Ila mwambie kinachokukera you never knw anaweza badilika.. au saa ingine anaona kawaida tu kumbe wewe wakereka.

nikimwambia anasema yeye hawezi kwani anakuwa hana nguvu ya kufanya hvyo!!!
 
Sasa si ukuache tu?
Au ni member humu ndio talaka ataisoma juu kwa juu?

ushaanza kunichokonoa ww....mi sitaki mambo yako banah!
Ennie hyo sio member wa humu!
 
Last edited by a moderator:
Nimeshaitia mfukoni hii talaka ngoja nikusanye tu mabegi

hahahahahah...ewe nawe unamskiza Ennie
sizan kama ankufikia huyu kiparangoto ni mzigo kwangu.. Na kuniacha hataki!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom