Polee sana...leo ni jumapili..jizuie kukasirishwa...tafuta wimbo wa 'what a wonderful world' usikilize
mwanamke kuhudumiwa
kulialia ndo jadi yangu , mpaka nipate tunayeendana!
Hivi umewahi kujiuliza , ni jambo gani ulilomfanyia mpenzi wako nae angalau akajihisi anathaminiwa?
Hata sex kujiongeza huwezi , ni kama nguo inayosubiri kupasiwa vile...eti 'hujanifikisha'..yaani...mizigo yote niibebe mimi..we kazi yako kunibip(credit nimetuma) na kunitumia mi-msg yako hiyo!
Mnakera sana nyie wenye hizi tabia!
mwanaume nae anahitaji zaid ya sex toka kwako!
mwanamke kama huyu akiachwa kuna kulaumiwa hapa wadau?
Weekend hii zamu ya wanawake
sio dent mkuu, ni mtu mzima kabisa, hata kiuno hajui kukata...ni tabu tupu!
Pole Ila kuwa mvumilivu mengine yanayokukera umkanye pia ukisema hapa haisaidiinakaa nafikiria ata ukiachana na mtu hauna cha kumkumbuka!Ahsante mkuu...wacha nijaribu!
Ha ha ha ha@Majigo utakuwa kitu ya Musoma -Majita/or Mwz-Ukerewe, make kule ndio kukata mauno ni kawaida yao utadhani zile santuri za muziki za 1990s. Sasa huku umekutana na watoto wa Digital, yy anafahamu kuchat tu bila hata kungalia Screen na kupost picha za kila tukio fb au Whatsapp/ instal; muulize kupika, kufua, kupasi, usafi, nk. Mauno kwake ni kuyatunisha na kuya post fb or Instalgram au kusifia Video za Acudo/FM Academia. Unajiuliza nn mkuu? Piga chini fastaaaa, akajifunze huko.
ILA MKUU HATUJAAMBIZA, HUYU ATAKUWA MPYA NN? JE CHA ZAMANI VP?
Pole Ila kuwa mvumilivu mengine yanayokukera umkanye pia ukisema hapa haisaidii
ukikunwa unakunika?
Bas ngoja nimalzane nae huyu , hasipojiongeza sasa mi nahamia kwako mrembo; sitaki kufa kwa zigo la presha miye!