Kimsingi kabla hujafikiria kutengeneza app yoyote, ni lazima kwanza ujue una lenga kutatua tatizo lipi hasa. Unafanya uchambuzi wa tatizo, solution unayotoa..na kwa namna gani itaondoa au kupunguza tatizo.Uko sahihi mkuu, nini maoni yako kuhusu app ya kukutanisha wapangaji na wenye nyumba regarding your view
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani app ya kuwakutanisha wapangaji na wenyenyumba kwa kupitia madali au moja kwa moja ni wazo zuri.
Lakini narudi pale pale..inahitaji mkakati madhubuti kufanya watu watumie.
Ubaya wa app za namna hii siyo regular. Yaani mtu anaweza kuihitaji mara moja kwa miaka 3.