Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

Kamwene kamwene

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2019
Messages
1,037
Points
2,000

Kamwene kamwene

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2019
1,037 2,000
Hongera sana mku umefikisha hiyo 30 mambo kwa kufanya kazi au umekopa..tuanzie hapo kwanza..
Biashara zipo nyingi unaweza kununua mashine za kutengeneza vifungashio hii biashara ni uhakika haaitaji uchawi kwani vifungashio vinajiuza vyewewe havina msimu wala nini,ni kutengeneza na kuuza tu
Tengeneza mabwawa ya samaki hiii unawekeza pesa kwanza baada ya miezi 6 unaanza kuona matunda
Uchuuzi..nunua nafaka weka store unaanza kuuza,hapa unanunua za msimu yani unakwenda na fashion

Fungua depo kubwa ya vinywaji baridi na moto.
 

Ariyan

Member
Joined
Jun 22, 2019
Messages
11
Points
45

Ariyan

Member
Joined Jun 22, 2019
11 45
Hongera sana mku umefikisha hiyo 30 mambo kwa kufanya kazi au umekopa..tuanzie hapo kwanza..
Biashara zipo nyingi unaweza kununua mashine za kutengeneza vifungashio hii biashara ni uhakika haaitaji uchawi kwani vifungashio vinajiuza vyewewe havina msimu wala nini,ni kutengeneza na kuuza tu

Tengeneza mabwawa ya samaki hiii unawekeza pesa kwanza baada ya miezi 6 unaanza kuona matunda

Uchuuzi..nunua nafaka weka store unaanza kuuza,hapa unanunua za msimu yani unakwenda na fashion
Asante sana, hela hiyo sio ya mkopo nimedunduliza mwenyewe mpaka nimefika hapo. Hiyo biashara ya vifungashio unaweza kuilezea kidogo? Kwa mfano mashine yenyewe naiweza ipata wapi na ni kiasi gani?
 

dicloppa

Senior Member
Joined
Jan 9, 2016
Messages
196
Points
250

dicloppa

Senior Member
Joined Jan 9, 2016
196 250
Salaam,
Ningependa niende kwenye mada moja kwa moja.katika kupambana hapa na pale kutafuta mtaji nimeweza kufikisha kiasi cha milion 30 ambacho natafuta msaada wa mawazo ya biashara ambayo itakuwa inaingiza kuanzia laki moja kwa siku. Tafafhali mwenye wazo lolote naomba tusaidiane
Fanya hiyo hiyo iliyokupatia hizo milioni 30 au tafuta eneo ujenge guest house then utarudi kunishukuru
 

Vera ginger

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Messages
746
Points
1,000

Vera ginger

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2016
746 1,000
UBARIKIWE ASEE NIPO KTK MOJA YA KAMPUNI INAYOJIHUSISHA NA MASWALA YA UDEREVA YANI ELIMU YA USALAMA BARABARANI NA MM NI INSTRUCTOR .... MKUFUNZI.... nimesoma vzur nimeelewa nanimependa mawazo yako ikiwa mm ujuzi wangu ndo huu kutoa elimu naweza nikaanzisha wazo gani lakuniingizia pesa kutokana na UJUZI HUU NLIO NAO plz ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
Anzisha driving school
Hata kwa gari 1
 

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Messages
289
Points
500

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2017
289 500
Habari!

Nilikuwa na wazo fulani kwa Serikali ikiona inafaa lakini.

Kwa kuwa wananchi wanaona maendeleo ya vitu yakifanyika kwa kasi na pengine wanapenda kushirikiana na Serikali yao moja kwa moja kwa upendo kabisa katika mambo ya maendeleo.

Kwanini sasa Serikali isije na ubunifu fulani hivi wa namba maalumu ambayo itatumika kwa wananchi kuchangia au kutoa fedha kwa hiyari.

Yaani Katika hiyo namba mwananchi akichangia asikatwe hela ya kutuma yaani kwa kiasi atakachoweka kwa mapenzi yake kiwe hicho hicho.

Ni kweli maendeleo yanaanza na wewe, watanzania tuamue.
 

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Messages
289
Points
500

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2017
289 500
Hello!

Kuna wazo fulani kwa Serikali hususani Local Government, mkipenda mnaweza lichukua na mkalifanyia kazi;

1. Ujenzi wa kiwanda cha kushona nguo:

a) Uwekezaji wake ni Tsh.1.8 bilioni
b) Rejesho la mtaji ni miaka 2 tu
c) Wafanyakazi wa kudumu (mkataba) watu 40 na wasio wa kudumu (vibarua) watu 200 - 250
d) Ni uwekezaji ambao ni rafiki kwa mazingira
e) Soko lipo ndani ya nchi na nje pia
f) Hili wazo linafanya kazi popote hapa nchini
g) Halmashauri zinaweza kuamua kufanya uzalishaji wa bidhaa za kufanana kikanda nk

2. Wazo la kilimo cha Asali (Nyuki wadogo + wakubwa)

a) Uwekezaji wake ni Tsh.2 billioni
b) Rejesho la uwekezaji ni mwaka 1
c) Wafanyakazi wa kudumu (mkataba) watu 60 na wasio wa kudumu (vibarua) watu 250 - 300
d) Ni uwekezaji rafiki wa mazingira na unafanyika popote
e) Soko lipo nje na ndani ya nchi


"Tanzania ni nchi nzuri sana"
 

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Messages
289
Points
500

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2017
289 500
Natania lakini.......
Serikali mkitaka kuajiri vijana yaani mfano mwaka 2019 au 2020 tangazeni ajira nchi nzima kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii ili kila anayetaka kuajiriwa na serikali aripoti katika taasisi anayohisi ataweza kufanya kazi yaani.
Mahitaji;
1. Aripoti na vyeti vyake vikiwa vimewekwa muhuri wa mahakama aliyopo yaani.

2. Atakayepewa kazi asiwe ameajiriwa hapo mwanzo serikalini yaani.

Hapo juu mtajaza mengineyo yaani.

Alafu hao ajira mpya mnawapanga sehemu mbalimbali kwa taasisi ile ile huko mikoani yaani mnawafanyia randomly flani hivi na wakubali hivyo vigezo yaani. Hapo sasa Serikali mtaona vijana wanaopenda kazi na wanaolalamika yaani a.k.a wavivu flani hivi.

Pasiwepo na uhamisho wowote mpaka miaka 5 yaani ktk eneo la kazi alilopangiwa yaani.

Mfano, mtu wa Dar sijui katoka wilaya kama Ilala hivi mnampanga huko ndani ndani Skonge Tabora huko au hata kibondo Kigoma yaani.

Msiweke kianzio cha maisha yaani anayetaka akaripoti asiyetaka aache yaani. No mpunga yaani zaidi ya barua ya utambulisho tu.

Mtauwa nakwambia, isitoshe madogo wataenjoi no interview yaani. Madogo moja kwa moja job yaani.
Yaani mtauwa nawaambia.

Hapo mtauwa nakwambia shobo zitakata mtaani huko yaani.

"Tuipende nchi yetu"
 

MURUSI

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Messages
1,757
Points
2,000

MURUSI

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2013
1,757 2,000
Wazo la Biashara ni lako wewe mkuu hasa kwa wewe kukaa na kuangalia zile changamoto zote na kuzibadili kuwa furusa.

Ukiona watu wanaenda Uganda kuchumua mzigo nguo ni kwamba wameona changamoto Bongo sasa wanabadili kuwa fursa.

Angalia Changamoto zozote unazo ziona hizo ndo furusa zenyewe. Na sio lazima zifanane.
 

muneera75

Member
Joined
Oct 12, 2019
Messages
84
Points
150

muneera75

Member
Joined Oct 12, 2019
84 150
Yani waungwana mi naona ni bora kumjuz mtu kama unahisi unajua vitu kwa mfano mi najua dar biashara ni nyingi hasa simu laptop nguo vyombo na vitu vingine kwahiyo wengine wenye madini semeni mnaona biashara mkoa gani vijana wanaweza kufanya?
 

Forum statistics

Threads 1,380,782
Members 525,872
Posts 33,779,450
Top