Baadhi ya Njia unazoweza kutumia kupata Wazo Bora la Biashara (Business Idea)

Shine

Shine

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2011
Messages
11,496
Points
1,225
Shine

Shine

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2011
11,496 1,225
Mkuu ni kweli kabisa kwamba Mitaji ni Tatizo, Ila si kwa kiwango tunacho taka kuaminishwa, wewe kama Entrepreners ni lazima pamoja na mambo mengine uwe na Mbinu za kupata mitaji, na tatizo lina kuwa mitaji kwa sababu tuna penda kufanya biashara kubwa sana kitu ambacho ni ndoto, mtu anataka aingie kwenye biashara na amfikie Mengi au jamaa wa Azam, sio rahisi,

Nchi kama Kenya wapo watu wanoenda hata Kupiga Debe ilimuradi wapate mitaji, wapo wanao enda kufanya vibarua vya kufyeka ilimuradi wapate mitaji, Je ulisha wahi jaribu hivyo na kukosa mtaji? AU unataka mtaji wa Milioni 100?

Tatizo tunataka kuanzia juu wakati wenzetu wote waliaznia chini na kufika hapo walipo sasa ingawa iliwachuku miaka mingi,

so ni vizuri kuanza na ulicho nacho, na kusonga mbele kwa sababu maswala ya mitaji yatakukuta mbele ya safari na si kusibiri mtaji ndo safari ianze, kwa sababu hata kama kuna sehemu Mikopo au mitaji inatolwe wanao pewa kipaumbele wa kwanza ni ambao tiyali walisha anza na si ambao wana mawazo

Kweli mkuu umenena huwezi pewa mtaji na taasisi yeyote kama haujaianza biashara teyari tena wanaenda mbali zaidi wakitaka kujua umekwishaifanya kwa muda gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shine

Shine

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2011
Messages
11,496
Points
1,225
Shine

Shine

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2011
11,496 1,225
Nami naomba nichangie kidogo...

Mi nafikiri alichoandika mdau Chasha ni cha kweli. Tusianze kulalamikia mitaji kama excuse. Cha msingi ni kuwa na nia thabiti, ambayo kwayo inatoa nguvu kubwa sana. Ukiwa na nia, unaweza kutafuta mtaji through kupiga debe, kufanya vibarua and the like.

Nilijaribu kuongea na rafiki zangu pale Kariakoo, ambao wanauza maji, ambao walinieleza kuwa ukiondoa mtaji, wanaweza kutengeneza ziada ya Tsh. 12,000-13,000, na siku ya biashara mbaya wanatengeneza ziada ya Tsh. 4000 at minimal.

Aidha, wale akina mama wanaouza matunda nao wana make ziada ya kiasi kama hicho,ambapo wao wanachukua matunda kule Temeke Stereo kwa Tsh.50-70 kwa embe moja,lakini kariakoo wanauza kwa Tsh. 250-300, na kwa juhudi zao matunda haya yanaisha.

Niliozungumza nao wananieleza tayari wameshanunua plots (walianza biashara hiyo miaka mi3 iliyopita). Hawa waliongozwa na nia iliyowapa nguvu ya kusonga mbele, japo vipo vikwazo walivyokutana navyo, nawanavyokutana navyo, lakini wanasonga mbele.

Hivyo,nafikiri mtaji mkubwa aliokuwa nao mtu ni mind set,na mtaji mwingine ni kuwa na mahusiano mema na jamii, ambayo kwayo unaweza pata mawazo mengi mazuri, na inawezekana ukaaminika na mtu/watu w/akakupesha mtaji.

Nawasilisha mchango wangu
Hii kitu nakubaliana nayo by all % sema upungufu wa hawa watu huwa kumage hela na kuikuza biashara waliowengi hawawezi yaani kwa kifupi fikra zao zinaishia apo apo japo wachache wao wanaweza kukuza biashara,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gabriel720

Gabriel720

Member
Joined
Jul 29, 2014
Messages
5
Points
20
Gabriel720

Gabriel720

Member
Joined Jul 29, 2014
5 20
Umesomeka mkuu, Mawazo ya biashara yapo mengi kama ulivyojaribu kuonesha, shida yetu kuu ni mitaji ya uhakika.


.......................................
Historia haiishiwi wino.
Ukiona Mtaji Ndo Tatizo Kwenye Biashara Una Tatizo
 
mseminari mdogo

mseminari mdogo

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2011
Messages
227
Points
250
mseminari mdogo

mseminari mdogo

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2011
227 250
Nimekuelewa Mkuu
IDEA ya Biashara ni moja ya mambo yanayo waumiza watu wengi sana, Na mara nyingi wazo la biashara linahitaji utafiti wa kina ili kuja na wazo lenye tija kwako na kwa jamii nzima.

HIZI NI MOJA YA NJIA ZA KUPATA WAZO LA BIASHARA

1. TUMIA UJUZI ULIO NAO

Ujuzi ulionao ndo sehemu ya kwanza kabisa ya kupata wazo la Biashara, Mfano kama wewe umejiliwa na ni Fundi wa kushona Nguo, why usianze na wewe kuwa na biashara ya aina hiyo? Kama wewe ni fundi magari why usianzishe gereji yako?

Ujuzi ulianao ndo hazina ya kwanza nay a kipekee ya kupata wazo na mara nyingi wajasirimali wengi waliofanikiwa waliacha kazi wanazo fanya na kwenda kuanzisha za aina hiyo na kuzimiliki wenyewe

2. BADILISHA HOBBY YAKO KUWA PESA
Hobby ni moja ya maeneo ambayo watu huja kutajilikia, kama wewe hobby yako ni kufuga mbwa kwa nini usianze hiyo biashara ya kufuga mbwa?

Kama Hobby yako ni Kuogelea, kwa nini usinzishe mabwawa ya kuogelea na wengine wakawa wankuja huko kuogelea?

Kam unapenda gardening unaweza anza biashara ya kufanya landscape gardening.

3. NUNUA BIASHARA AMBAYO TIYARI IPO
Ukishindwa kabisa kupa wazo mwanana unaweza nunua biashara ya mtu mwingine na kuindeleza, siku hizu kuna biashara kibao zinauzwa kwa sababu mbalimbali so unaweza nunua nu kuendelea nayo

4. KUNUNUA FRANCHISE
Hii ni moja ya njiza zinazo tumika kwa sasa na sehemu nyingi sana, Unaweza nunua Popular Brand na kuifanyia kazi, Ingawa mara nyingi kuna mashariti ya kuambatana ikiwemo kuhakikisha unatoa huduma sawa na Brandi yenyewe, nah ii ni popular sana katika MAHOTELI/MIGAHAWA, MASUPERMARKET NA MADUKA MENGINE.

Na usijalibu kutumia Brand ya Kampuni Fulani bila kuwapa Taarifa make inaweza kula kwako na ukajikuta unafilisiwa.

Na ilisha wahi kutokea kwa Kampuni ya Mabasi ya SABENA baada ya kutimia jina la Shirika la Ndege la Ubeligiji, Ila sijui walimalizana vipi, make jamaa bado wanalitumia

5. TUMIA PERSONALITY YAKO
Kuna watu unakuta either ni Mrembo sana, Handsome na kazalika, unaweza utumia huo urembo na uhendsaamu kufanya biashara, either za marketing na kadhalika.

6. NINI KINAKOSEKANA MTAANI?
Tazama ni kitu gani hakipo hapo mtaani and then geuza kuwa opportunity, inaweza isiwe ni mtaani ikawa ni kazini kwako, Kijijini kwenum au maeneo unayo enda kustarehe.

-Ni kitu gani huwa kinaleta usumbufu kwako na kukuchukulia muda mwingi na pesa nyingi?
- Ni huduma zipi hazipo kabisa mtaani kwako? Na ambazo ni za muhimu?
-Ni bidhaa zipi ambazo ni vigumu kuzipata mtaani kwenu?
-Ni kitu gani, wewe, Ndugu, Majirini huwa wanakilalamikia sana mtaani hapo?

7. UTALII KATIKA MAENEO YAKO
Hii nayo ni moja ya wazo, so unaweza angalia furusa za utalii kwenye maeneo uliyopo au hata kwingine na kuyafanyia kazi.

8. TUMIA TEKNOLOJIA MPYA KUANZISHA BIASHARA
Angalia mfumo wa maisha wa sasa ulivyo, vitu vinavyo tumika kwa sasa na vinavyo tumiwa na watu wengi, so mfumo wa maisha wa watu kwa sasa unaweza kukuongoza kuja na wazo la Biashara.

9. ANGALIA MAKAMPUNI MAKUBWA NA TAASISI NYINGINE WANAHITAJI NINI?
Unaweza tumia uwepo wa makampuni Fulani au taasisi Fulani maeneo yako kutengeneza wazo la biashara, taasisi kama Shule, vyuo, Hospitali, Makampuni kama Viwanda Migodi na kadhalika, angalia ni kipi hawa watu wanaweza kuwa wanahitaji kwa wingi.

10. UNAWEZA KUANGALIA KUHUSU KUUZA BIDHAA ZA WENGINE
Unaweza ukawa unauza bidhaa za watu wengine, unachukua na kuuza

11. ANGALIA HABARI NA MAKALA MBALIMBALI
Kuna chaneli huwa zina makala mazuri sana ya kiuchumi na biashara, hata TBC huwa ina makala Fulani nzuri sana, na kuna chaneli za kimataifa siku huzi kazi yao ni hiyo tu, ni kuonyesja ubunifu wa wajasirimali, so TV, radio na magazeti yanaweza toa mchango w akutosha kwa wewe kupata wazo la biashara

12. COPY BUSINESS IDEA AMBAYO IMEFANIKIWA KWINGINEKO
Hii ni moja ya njia zinazo tumika kwa sasa, unaweza copy idea kutoka hata India, China, na kwingineko na ukaja kuifanyia kazi huku kwa kufanya marekebisho madogo kulingana na mahitaji ya eneo husika

13. TUMIA NJIA ZOTE ZA KIUTAFITI KUPATA WAZO LA BIASHARA
- Maonyesho ya biashara
- Magazeti,
- Kwenye taasisi za uma zinazo husika na biashara
- Kwa marafiki.

14. UNAWEZA GUNDUA KITU?
Unaweza ukaja na ugunduzi wako kama walivyo fanya wakina Thomas Edson Michael Dell na wengineo, na ikawa ndo mwanzo wa mafanikio kwako

SO HIZO NI MOJA YA NJIA ZA KUTUMIA, INGAWA BADO KUNA NJIA NYINGI TU ZA KUFANYA ILI KUPATA WAZO LA BIASHARA LILILO BORA
 
K

KIJANI

Senior Member
Joined
Dec 13, 2010
Messages
139
Points
195
K

KIJANI

Senior Member
Joined Dec 13, 2010
139 195
SCHOOL CHALK MAKING MACHINE AND CHALK DRYER KUBWA ON SALE 35Mil.
img_20160628_163008-jpg.1086468
img_20160628_162919-jpg.1086469
img_20160627_174704-jpg.1086470
img_20160627_174652-jpg.1086471DESCRIPTIONS:
Ina Blocks 6 za Kutengeneza Chaki kila Block ina Matundu 800 (6 Moulds);

Ni Semi-Automatic (Ina Motor ya kufanya Mixing ya Raw materials pamoja na Maji Automatically;

Ina OVEN KUBWA ya Kukausha CHAKI baada ya kutoa kwenye Block/Moulds

Eneo ziliposimikwa Mashine limekodishwa hivyo unaweza kuendelea kulipia kodi ama kuhamisha mashine zako;

KWA MAELEZO ZAIDI,
CONTACT: 0767 235923.
 
dojonase

dojonase

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2017
Messages
509
Points
500
dojonase

dojonase

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2017
509 500
UBARIKIWE ASEE NIPO KTK MOJA YA KAMPUNI INAYOJIHUSISHA NA MASWALA YA UDEREVA YANI ELIMU YA USALAMA BARABARANI NA MM NI INSTRUCTOR .... MKUFUNZI.... nimesoma vzur nimeelewa nanimependa mawazo yako ikiwa mm ujuzi wangu ndo huu kutoa elimu naweza nikaanzisha wazo gani lakuniingizia pesa kutokana na UJUZI HUU NLIO NAO plz ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa teacher ilo swali l kuliza Jmani anzisha college ndogo ya udereva ata ukiwa n gari mbili tu inatosha kuwa college
 
tontoto

tontoto

Member
Joined
Jul 18, 2018
Messages
40
Points
95
tontoto

tontoto

Member
Joined Jul 18, 2018
40 95
Wakuu habari? Poleni na majukum,Mimi Nina mtaji Wa ml2 nimekaa nao kwa muda Wa mwez sasa, kila nikiwaza wazo la biashara sipati kabisa na ukizingatia kipindi hichi biashara ni kama zimedorora kiasi,Naombeni mawazo yenu nifanye biashara gani ya ml 2,naogopa kuendelea kukaa nayo hela naweza kuila maana shida nazo haziishi.
 
M

MR UNINFORMED

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2013
Messages
956
Points
1,000
M

MR UNINFORMED

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2013
956 1,000
Salaam.

Natafta eneo la kuweka biashara ya mgahawa...mitaa ya kuanzia posta hadi mwenge. Mwemye idea tafadhali....tuyajenge inbox.
 
jangala

jangala

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2014
Messages
1,388
Points
2,000
jangala

jangala

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2014
1,388 2,000
Kuajir watu
Duh!!!..
Hii biashara unatakiwa ujipange Sana... Maana ina changamoto kuliko unavyoisikia.. Binafsi nilishindwa Kwan mwanzo mnaanza vzur.. ila cku zinavyoenda dereva anabadilika... Mwisho mnapelekana polisi tu...
Pia unatakiwa uwe serious na mkataba wako na dereva wako,yaani mkataba uwe wa kikatili, wenye kukufavour ww mwenye mali.. Kidoooogo Unaweza ukawa na ahueni..
Pia ktk biashara hii, ukiona kuna dalili za tatzo au ujanja ujanja... Piga chini Fasta huyo dereva... Yaan in short usiwe na fair play hata punje...
Mi niliferi Ktk mkataba na ukatiri siuwezi..
 

Forum statistics

Threads 1,303,521
Members 500,948
Posts 31,484,419
Top