Baadhi ya mahitaji ya mume

Baadhi ya mahitaji ya mume

1.Binafsi simpendi mwanamke mchoyo wa maku ambaye anaona kukupa raha kama usumbufu mpaka atapojiskia yeye. Au muda una mzuka anakufukuza "ah bwanae nawe unataka kila saa, ebu niache uko".
Hii tabia inaboa sana na ntachepuka kadri ya uwezo wangu kama utanletea style hii!

2.Dharau na kejeli, ukijifanya mjuaji mapema tu tutashindwana. Kila unachoambiwa unajitia Ukawa. Raha ya mwanamke awe msikivu na mwelewa (hekima).

Ni hayo tu kwa leo.
 
Nimekuelewa kwamba eti mwanaume amtendee Wema mkewe ili mkewe amtendee Wema mumewe, iyo kitu Africa ni almost non applicable
Maana wanaume wa kiafrika wapo kwa ajilj ya kunyeyekewa na wake zao na si kunyeyekea wake zao ili wapate return ya kunyenyekewa too,
Hivyo basi mwanamke anatakiwa kuelewa yeye ni mtu pekee wa kuituliza familia yake kwa kujishusha kwenye baadhi ya mambo ili familia iende
Kwa hili nakubali ila pia ntakupinga maana kuna rundo la wanawake wenzio wanaoharibu huu utetezi wako.
Mwanamke wa kiafrika ukimnyenyekea anakupanda kichwani na kukuona fala at the end. Ndio shida kubwa iliopo na tokea enzi za mababu waliamua tu kuanza kuwabutuaga kwa sababu hio.
 
Fatilia comment zangu utaelewa Mkuu
 
Back
Top Bottom