jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,584
cjui ila tubadilishe venu aisee, nisije kamatwa loooh na mimi najaribu kukusaidia tu na si vinginevyoAnapafahamu hata!..?
cjui ila tubadilishe venu aisee, nisije kamatwa loooh na mimi najaribu kukusaidia tu na si vinginevyoAnapafahamu hata!..?
cjui ila tubadilishe venu aisee, nisije kamatwa loooh na mimi najaribu kukusaidia tu na si vinginevyo


aya tukikutana tutaambizana venuesawa, heading there right away supermarket usije cause tunatania loooohaya tukikutana tutaambizana venue
Ndiyo maana hamuolewi kuona kila kitu jinsi mufikilivyoo..! Sometime unahitaji kubadirika kutegemea mazingira ya wakati huo.Ya mwisho(6) sio applicable kwa wimbi kubwa la mariooos, wavivu, wa leo
Nimeshakataza huu utani mapema tu, naona mnaingia kwenye 18 zangu inawezekana hamnijui vizuri. Uzuri zaidi ninapokamata mhalifu nimepewa kibali cha kujichukulia hatua mkononisawa, heading there right away supermarket usije cause tunatania looooh
. Kama mnahisi mnapokwenda sipajui naombeni niwape rukhsa nendeni halafu muone nini kinafuata.Ebu twende zetu hivi achana naye
Anapafahamu hata!..?
Hahahhahaha tushabadilisha gia anganiNimeshakataza huu utani mapema tu, naona mnaingia kwenye 18 zangu inawezekana hamnijui vizuri. Uzuri zaidi ninapokamata mhalifu nimepewa kibali cha kujichukulia hatua mkononi![]()
![]()
![]()
. Kama mnahisi mnapokwenda sipajui naombeni niwape rukhsa nendeni halafu muone nini kinafuata.
Naskia harufu ya kupandishwa cheo
Hapo ubize kama sgetani umenikumbusha bwana Juma Pakua Maharage.' Mlizoea kuishi kama malaika sasa mtaishi mashetani'..Habari wana MMU?
Leo tuangalie baadhi ya mahitaji ya Mwanamme kutoka kwa mke/mpenzi wake.
1. Anahitaji kutoshelezwa ktk tendo la ndoa, (kushiba), kama unatumia sex kama adhabu na unavigezo na masharti kibao, huu muziki utakuwia mgumu.
2. Anakiu ya kula chakula cha mkewe (hata kama uko bize kama shetani, basi jitahidi hata mara chache basi)
3. Kuna baadhi ya shughuli hapendi kuona dada wa kazi anazifanya bali wewe, sio kwamba anataka akutumikishe, la hasha, anajisikia furaha kuwa served na mke wake. (Najua pia uko bize but you can do something)
4. Anataka kuona unavutia, sio kwasababu ameshakuoa basi unajiachia tu, huyo sio kakako, anahitaji kuvutiwa kingono, be sexy, hata kama unanyonyesha, jiweke atractive. (Sasa hapa pia mwanaume usiwe bahili kwenye kugharamia)
5. Anakiu ya kuiona heshima kutoka kwako, ukianza kuleta ushindani, majibizano na kusaka usawa itakula kwako mazima (hata kama mama yako alikuwa anafanya hivyo kwa baba yako)
6. Hata kama uwezo wake ni mdogo kuliko wewe, appreciate kile kidogo anachokiweza au anachokifanya
na chura tunahitaji pia ni hitaji muhimu kwa wanaumesawa
Karibu kwenye familia hukosi wifi au mashemeji cuteDu leo humu ndani pazuri watu na mashem zao
Ni shida.... Ni tatizo kubwa.... Maboriti yako wenyewe hawawezi kuyagundua....!!!?Inasikitisha JF limeibuka wimbi la binadamu wanaojua tu weaknesses za jinsia isiyo yao. Poleni saana.
Yangu fupi sana, na inatimizika.Wakikubaliana na hayo yetu, tusubiri list ya matakwa yao. Sijui tutaweza kuitimiza?!