Baadhi ya mahitaji ya mume

Baadhi ya mahitaji ya mume

Habari wana MMU?

Leo tuangalie baadhi ya mahitaji ya Mwanamme kutoka kwa mke/mpenzi wake.
1. Anahitaji kutoshelezwa ktk tendo la ndoa, (kushiba), kama unatumia sex kama adhabu na unavigezo na masharti kibao, huu muziki utakuwia mgumu.

2. Anakiu ya kula chakula cha mkewe (hata kama uko bize kama shetani, basi jitahidi hata mara chache basi)

3. Kuna baadhi ya shughuli hapendi kuona dada wa kazi anazifanya bali wewe, sio kwamba anataka akutumikishe, la hasha, anajisikia furaha kuwa served na mke wake. (Najua pia uko bize but you can do something)

4. Anataka kuona unavutia, sio kwasababu ameshakuoa basi unajiachia tu, huyo sio kakako, anahitaji kuvutiwa kingono, be sexy, hata kama unanyonyesha, jiweke atractive. (Sasa hapa pia mwanaume usiwe bahili kwenye kugharamia)

5. Anakiu ya kuiona heshima kutoka kwako, ukianza kuleta ushindani, majibizano na kusaka usawa itakula kwako mazima (hata kama mama yako alikuwa anafanya hivyo kwa baba yako)

6. Hata kama uwezo wake ni mdogo kuliko wewe, appreciate kile kidogo anachokiweza au anachokifanya
Well said.
 
Mada yako ni perfect but kwa uzoefu mdogo nilio nao (niko radhi kukosolewa) mara nyingi (sio zote) kwenye mahusiano rasmi na hata yale ambayo sio rasmi, ukikuta mwanaume anaelewa nini maana ya kupenda mke huwa 'hajielewi' - yaani hatoi mrejesho positive. Na pia vivyo hivyo, ukikuta mwanamke ambaye anajua kupenda - utakuta mwanaume hajui thamani ya alichonacho..unakuta yupo yupo tu.....
 
Habari wana MMU?

Leo tuangalie baadhi ya mahitaji ya Mwanamme kutoka kwa mke/mpenzi wake.
1. Anahitaji kutoshelezwa ktk tendo la ndoa, (kushiba), kama unatumia sex kama adhabu na unavigezo na masharti kibao, huu muziki utakuwia mgumu.

2. Anakiu ya kula chakula cha mkewe (hata kama uko bize kama shetani, basi jitahidi hata mara chache basi)

3. Kuna baadhi ya shughuli hapendi kuona dada wa kazi anazifanya bali wewe, sio kwamba anataka akutumikishe, la hasha, anajisikia furaha kuwa served na mke wake. (Najua pia uko bize but you can do something)

4. Anataka kuona unavutia, sio kwasababu ameshakuoa basi unajiachia tu, huyo sio kakako, anahitaji kuvutiwa kingono, be sexy, hata kama unanyonyesha, jiweke atractive. (Sasa hapa pia mwanaume usiwe bahili kwenye kugharamia)

5. Anakiu ya kuiona heshima kutoka kwako, ukianza kuleta ushindani, majibizano na kusaka usawa itakula kwako mazima (hata kama mama yako alikuwa anafanya hivyo kwa baba yako)

6. Hata kama uwezo wake ni mdogo kuliko wewe, appreciate kile kidogo anachokiweza au anachokifanya
Lait wanawake wote wangetekeleza haya hakuna ndoa,zngevunjika ovyo
 
Zote nisahihi tens naona zina back up ya vitabu vya dini ......makonde yenu hayo... Na Kyle kwingine ....enyi wake watiini/waheshimuni waume zenu.,,,,,waume wapendeni wake zenu..... !halo ndoa inatimilika!!! Viceversa Ni usaliti na michepuko...!
 
Upendo bila ya sababu wala kipimo toka kwa mme na make kutii yote mema ka kanisa limtiivyo Kristo!!!
 
Habari wana MMU?

Leo tuangalie baadhi ya mahitaji ya Mwanamme kutoka kwa mke/mpenzi wake.
1. Anahitaji kutoshelezwa ktk tendo la ndoa, (kushiba), kama unatumia sex kama adhabu na unavigezo na masharti kibao, huu muziki utakuwia mgumu.

2. Anakiu ya kula chakula cha mkewe (hata kama uko bize kama shetani, basi jitahidi hata mara chache basi)

3. Kuna baadhi ya shughuli hapendi kuona dada wa kazi anazifanya bali wewe, sio kwamba anataka akutumikishe, la hasha, anajisikia furaha kuwa served na mke wake. (Najua pia uko bize but you can do something)

4. Anataka kuona unavutia, sio kwasababu ameshakuoa basi unajiachia tu, huyo sio kakako, anahitaji kuvutiwa kingono, be sexy, hata kama unanyonyesha, jiweke atractive. (Sasa hapa pia mwanaume usiwe bahili kwenye kugharamia)

5. Anakiu ya kuiona heshima kutoka kwako, ukianza kuleta ushindani, majibizano na kusaka usawa itakula kwako mazima (hata kama mama yako alikuwa anafanya hivyo kwa baba yako)

6. Hata kama uwezo wake ni mdogo kuliko wewe, appreciate kile kidogo anachokiweza au anachokifanya
Sawa,tumeskia mwingine unaweka kumfanyia hayo yote na tamaa ikabaki pale pale..
 
Namba mbili umeniacha hoi,

Shetani huwa yupo busy!??
 
Back
Top Bottom