Baadhi ya mahitaji ya mume

Baadhi ya mahitaji ya mume

Nikipandishwa cheo ndo nitakuwa tishio zaidi ogopa sana , siwezi kuchekelea uzembe wowote utakaofanyika hata ukisema mtu ni shemeji/ rafiki/ ndugu inabidi aje na kitambulisho cha undugu.
hahahahhaha Mkuu mbavu zangu jaman. tutaongea lakini pembeni kabla hujaanza kazi najua hatutashindwana loooh masharti magumu sana haya
 
2, 3, 5. Hapo kwa hawa wanawake wa kileo ni mtihani mzito.
 
hahahahhaha Mkuu mbavu zangu jaman. tutaongea lakini pembeni kabla hujaanza kazi najua hatutashindwana loooh masharti magumu sana haya
Hapana, mimi sio yule wa laki 2 halafu niharibu kazi niliyopewa (sahau), sitaki kuitwa pembeni na utakachoniambia namfikishia ujumbe STUNTER moja kwa moja.
Vitu vidogo vidogo haviwezi kurudisha nyuma msimamo wangu, nimekuja kwa kazi moja na naitumikia kazi yangu, nina malengo na kazi yangu na nina imani nitafika mbali nikiwa mfanyakazi bora muaminifu.
 
mweeeeeeh mweeeee jaman tutaongea kwanza ili nijue kama utamfikishia ujumbe maana ninachowaza kukuambia hutaweza mweleza naamini
 
Hapana, mimi sio yule wa laki 2 halafu niharibu kazi niliyopewa (sahau), sitaki kuitwa pembeni na utakachoniambia namfikishia ujumbe STUNTER moja kwa moja.
Vitu vidogo vidogo haviwezi kurudisha nyuma msimamo wangu, nimekuja kwa kazi moja na naitumikia kazi yangu, nina malengo na kazi yangu na nina imani nitafika mbali nikiwa mfanyakazi bora muaminifu.
 
Supermaket dawa yake kumpeleka mitaa ya watumia cha arusha apigwe roba ya koo
Ni sawa tu mkuu, nipo tayari niumie mimi lakini jje's apone, ndo jukumu nililokabidhiwa na STUNTER kwa hali yoyote ile jje's awe katika mikono salama.
hahahahhaha ucjali nitaongea nae kabla hajaanza kazi
Maelekezo ya kazi napewa na STUNTER sidanganyiki
 
Ni sawa tu mkuu, nipo tayari niumie mimi lakini jje's apone, ndo jukumu nililokabidhiwa na STUNTER kwa hali yoyote ile jje's awe katika mikono salama.

Maelekezo ya kazi napewa na STUNTER sidanganyiki
Nitaongea na jje's akutafutie toto la kiarusha likutulize na ubaunsa wako
 
Back
Top Bottom