Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Hivi kuna mwanaume ambaye huwa hatoshelezwi kwenye tendo la ndoa?Yani anaishia kati anachoka au anashindwa au inakuaje?Maana sijaelewa hiyo number moja
hahahahahhahahaha umeonaeeee, nita msomesha tu usijali.Shem namtaka twin wako. Kila kitu mfanane ikiwezekana awe jirani yako ili siku tukiibuka via via tuwe wote![]()
Tunafahamu kama Mapenzi ni Two way Traffic ila ndoa ni kitu kingine, usione watu tupo kwenye ndoa ambazo zipo kimyaa ukadhani humo ndani ya nyumba kuna Two way kwa kila jamboAsante tumekusikia..
Ila ujue kuwa mapenzi ni Two Way Traffic.
Usitegemee kutoshelezwa na mke kama wewe humtoshelezi.
Usitegemee heshima kama wewe humheshimu, heshima ni kupeana.
Ukitaka mkeo akufanyie mambo mazuri, anza wewe kumfanyia, she'll reply back.
Tabia ya nafsi ni kumpenda yule anayeifanyia mema.
LadyAJ my wifi, yaan watu wengine hatuwezi kwa kweli. two way traffic lazima i apply la sivyo nikuumiza mioyo tu hapa.Tunafahamu kama Mapenzi ni Two way Traffic ila ndoa ni kitu kingine, usione watu tupo kwenye ndoa ambazo zipo kimyaa ukadhani humo ndani ya nyumba kuna Two way kwa kila jambo
Ukisema humuheshimu mumeo mpaka yeye nae awe anakuheshimu utagonga ukuta
hahahahahhahahaha umeonaeeee, nita msomesha tu usijali.
mimi ni chocolate color, wewe unapenda mweupe kidogo eeeeh, jst asking


sijaelewa bhana rahisisha hicho kizungu loooh shem unataka nirudi shule ama?Exactly,..I will bless your intentions sister in law![]()
exactly nini sasa, be specificExactly,..I will bless your intentions sister in law![]()
Hahahaha...sijaelewa bhana rahisisha hicho kizungu loooh shem unataka nirudi shule ama?
Haya, subiri huo usawa mama, ila hautaupata kwa 100%LadyAJ my wifi, yaan watu wengine hatuwezi kwa kweli. two way traffic lazima i apply la sivyo nikuumiza mioyo tu hapa.
i say no way kwa one way.
Hizi sister in law hizi... Haya DabyExactly,..I will bless your intentions sister in law![]()
Kwani wewe umenielewaje bibie?Tunafahamu kama Mapenzi ni Two way Traffic ila ndoa ni kitu kingine, usione watu tupo kwenye ndoa ambazo zipo kimyaa ukadhani humo ndani ya nyumba kuna Two way kwa kila jambo
Ukisema humuheshimu mumeo mpaka yeye nae awe anakuheshimu utagonga ukuta
hahahahahhahahaha umeonaeeee, nita msomesha tu usijali.
mimi ni chocolate color, mimi napenda mweupe kidogo eeeeh, jst asking
exactly nini sasa, be specific





hivyo sitabishana nae ila anipende loooh, ki ukweli napenda kupendwa hivyo vingine vyote nitafunga macho. mawifi kunisengenya ni shida zao cause wameona nimewazidi. unajua mutu hawez poteza muda wake kukusema kama hajakukubali.Haya, subiri huo usawa mama, ila hautaupata kwa 100%
-Mwanaume atakurudia usiku wa manane,je na wewe uta i apply two way?
-Mawifi +mama mkwe watakusengenya- je uta apply two way na wewe uwasengenye uwachukie kamawanavyokuchukia?
-Mwanaume atakua na kauli mbovu mbovu juu yako, je uta i apply mama
*Ata cheat hadharani hasirani, je na wewe uta cheat?
Kuna vitu itakupasa ujishushe ili uifanye nyumba yako isiwe kaa la moto likaunguza wanao
Nimekuelewa kwamba eti mwanaume amtendee Wema mkewe ili mkewe amtendee Wema mumewe, iyo kitu Africa ni almost non applicableKwani wewe umenielewaje bibie?