Baadhi ya mahitaji ya mume

Baadhi ya mahitaji ya mume

Habari wana MMU?

Leo tuangalie baadhi ya mahitaji ya Mwanamme kutoka kwa mke/mpenzi wake.
1. Anahitaji kutoshelezwa ktk tendo la ndoa, (kushiba), kama unatumia sex kama adhabu na unavigezo na masharti kibao, huu muziki utakuwia mgumu.

2. Anakiu ya kula chakula cha mkewe (hata kama uko bize kama shetani, basi jitahidi hata mara chache basi)

3. Kuna baadhi ya shughuli hapendi kuona dada wa kazi anazifanya bali wewe, sio kwamba anataka akutumikishe, la hasha, anajisikia furaha kuwa served na mke wake. (Najua pia uko bize but you can do something)

4. Anataka kuona unavutia, sio kwasababu ameshakuoa basi unajiachia tu, huyo sio kakako, anahitaji kuvutiwa kingono, be sexy, hata kama unanyonyesha, jiweke atractive. (Sasa hapa pia mwanaume usiwe bahili kwenye kugharamia)

5. Anakiu ya kuiona heshima kutoka kwako, ukianza kuleta ushindani, majibizano na kusaka usawa itakula kwako mazima (hata kama mama yako alikuwa anafanya hivyo kwa baba yako)

6. Hata kama uwezo wake ni mdogo kuliko wewe, appreciate kile kidogo anachokiweza au anachokifanya

Nimejifunza kitu mkuu
 
Haha...sweetheart hao waneshazeeka. Ngoja nikamchukue myweather na pank yao.
Si wanakutosha eeeh
Hao they will take me to the new world ,some where heaven
 
Mkuu fufua uzi ninahamu ya kuchana aseeh leo
Ulinikimbia mkuu, nipo biz kdg muda huu mpk jioni nitakucheck niufufue uzi..andika kabisa kwenye daftari najua free style huwezi
 
Ulinikimbia mkuu, nipo biz kdg muda huu mpk jioni nitakucheck niufufue uzi..andika kabisa kwenye daftari najua free style huwezi
Haha..eti siwezi. Haya poa.

Last year kulikuwa na competition. Sema kidogo tumebanwa. Watu wakiwa free December tutaanza
 
Back
Top Bottom