Baadhi ya mahitaji ya mume

Baadhi ya mahitaji ya mume

Habari wana MMU?

Leo tuangalie baadhi ya mahitaji ya Mwanamme kutoka kwa mke/mpenzi wake.
1. Anahitaji kutoshelezwa ktk tendo la ndoa, (kushiba), kama unatumia sex kama adhabu na unavigezo na masharti kibao, huu muziki utakuwia mgumu.

2. Anakiu ya kula chakula cha mkewe (hata kama uko bize kama shetani, basi jitahidi hata mara chache basi)

3. Kuna baadhi ya shughuli hapendi kuona dada wa kazi anazifanya bali wewe, sio kwamba anataka akutumikishe, la hasha, anajisikia furaha kuwa served na mke wake. (Najua pia uko bize but you can do something)

4. Anataka kuona unavutia, sio kwasababu ameshakuoa basi unajiachia tu, huyo sio kakako, anahitaji kuvutiwa kingono, be sexy, hata kama unanyonyesha, jiweke atractive. (Sasa hapa pia mwanaume usiwe bahili kwenye kugharamia)

5. Anakiu ya kuiona heshima kutoka kwako, ukianza kuleta ushindani, majibizano na kusaka usawa itakula kwako mazima (hata kama mama yako alikuwa anafanya hivyo kwa baba yako)

6. Hata kama uwezo wake ni mdogo kuliko wewe, appreciate kile kidogo anachokiweza au anachokifanya
Binafsi nahitaji mwanamke msafi na mwaminifu, mwenye upendo wa kweli na mwenye kujali, mkarimu na mpole, mcha Mungu na mpenda familia. Hayo mengine ya kitandani ni mbwembwe tu maana hakuna chuo cha kujifunza.
 
Bora umefika mkuu, nitakuelezea historia yote mwanzo mwisho mpaka walivyoongea..kwa upande wangu ulinzi upo vizuri sema kuna jirani hapo wanataka kupeana rushwa ya laki2.
Yani nani na nani wanataka kupeana hiyo hela?
Alafu ni kwaajili ya nini?
Sorry, inabidi unambie kwakifupi tu
 
Back
Top Bottom