jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,584
tushamaliza wifi mbona unafuatilia sana lakini una nini?Huko chemba tangu muitane hamjakwenda tu?
tushamaliza wifi mbona unafuatilia sana lakini una nini?Huko chemba tangu muitane hamjakwenda tu?
Kwasababu atoto katulia..endelea kuniambia tu shemsasa mbona unatoa siri sasa? siku nyingine sikuambii tena.
Kumbe! nilijua wewe ni mchaga wa visiwaniWa Tanganyika.
Usiishie kusikia tu, bali kuelewa na kutekeleza.umesema vitu vizuri sana na tumesikia
haswaaa asanteUsiishie kusikia tu, bali kuelewa na kutekeleza.
Tabia ya nafsi ni kumpenda yule anayeifanyia mema.
Vita ya panzi furaha kwa kunguruu.Ukichepuka mbona huw hupigi kelele!! Kaone!


jje's kwanini hutulii?weeee atoto niachie bae wangu loooh STUNTER kuja usikie
usiamini mwingine yeyote niamin mimi.
Eti asiamini yeyote, STUNTER ameshasema ananiamini mimi kwa kazi nzuri.usiamini mwingine yeyote niamin mimi.
nilifanya makusudi ili nijue wabaya wetu ni kina nani.
Wewe ni wangu tu usiwe na shaka yeyote.
Thanx mkuu nipo makini na kazi yangu, ulinzi upo vizuri nimeimarisha kila kona ondoa shakaGood Job...!! supermarket
hahahahahhaah mbona hukuleta evidence? hakuna kitu nimefanya makusudi tu na bae wangu kashaniamini jana uck tulikuwa tunaliongelea hili na tushaweka mambo sawa.Eti asiamini yeyote, STUNTER ameshasema ananiamini mimi kwa kazi nzuri.
Umefanya kusudi au ulitaka kufanya kweli, bahati nzuri intelijensia yangu imefanya kazi vizuri nikafichua uhalifu
Nikipandishwa cheo ndo nitakuwa tishio zaidi ogopa sana , siwezi kuchekelea uzembe wowote utakaofanyika hata ukisema mtu ni shemeji/ rafiki/ ndugu inabidi aje na kitambulisho cha undugu.hahahahahhaah mbona hukuleta evidence? hakuna kitu nimefanya makusudi tu na bae wangu kashaniamini jana uck tulikuwa tunaliongelea hili na tushaweka mambo sawa.
baki na u intelijensia wako sie twasonga.
BTW endelea maana nilimsikia anataka akupandishe cheo. Ile mwanzo kabla sijamweleza alikuwa anasema huyu jamaa anafaa sana nikajua mshahara utaongezeka.