Mahindi ya chumvi mpk uku Zimbabwe naona wanagonga kwa kulumangia na chumvi pia! Pembeni mwa barabara ya kaunda,eastlea! Sishangai,Mara hamna jipya zaidi kukata wake zenu mapangaWanaume wote wa sitakishari mnamshindwa RAMBO?
Km unakula muhindi na chumvi pamoja na pili pili mtatoa nguvu wapi za kupigana? Mwanaume unakula chips. Mbona ss hayo matukio hatuna?
Mara panya road, scorpion n.k
WANAUME WA DAR BANA, LEGE LEGE SANA
Aje huku Mara aone cha mtema kuni. Hakuna cha Rambo wala cha bibi yake na Rambo.
Wakatii wanamtafutaa niliendaitaki shariikuwajuza jinsiya kumkamata walipompataa nilienda kwamkuuwakituo airport kamawanaweza wafanyehaya else huyubwana atawapa shidaHali ya usalama katika eneo la uwanja wa ndege maeneo ya ukonga sio salama tena.
Hii inatokana na yule kijana kwa jina abdul chata maarufu kama rambo mkata watu mapanga na kujeruhi watu ifikapo mida ya usiku akiwa akishirikiana na kundi la wahuni maarufu kama panya road .....,
Awali mwaka 2015 kijana huyu kwa kushirikiana na vijana wenzake alifanya uharifuu wa kupora watu mali zao kama simu, pesa na vitu vidogo vidogo akimaliza kukupora ni lazima akupige panga la uso au kichwani akuache na alama usoni ya panga.
Mwaka 2015 mwaka jana huyu alijeruhi watu wengi hadi ilifikia hatua alimkata ziwa dada mmoja mfanyakazi wa airport na kuondoka nalo na kumsababishia huyo mdada maumivu makalii sana ,
Baada kufanya matukio mazito kama hayo polisi walimkamata kwa ushirikiano na raia lakini cha kushangaza kijana huyu alienda jela na ametoka mwaka huu kutoka jelaaa.
Baada ya kutoka yeye jelaa aliamua kurudi mtaani na kupiga watu mapanga na hivi sasa ameshafanya hayo matukio ya kupiga watu mapangaa.... ,
Hivoo hadi sasa eneo la uwanja ndege halk sio salama
Source of the mimi mwenyewe nilko huku
Hidakubwaa anashirikiana nawatoto wa hapoohapo saswakikamatwa wanashindwa kuwapigawanaita ati defender njooni kawe tegetat muwaulize defender hukuu zinabeba Maori.... Inaumiza Sana aliwatesa Sana wafanyakazi wa airport wanaotoka saatanoo naalewanaingia asbh Sana'a akinyanyua pangs kimbia arudishi nyuma amekatakata sanahadi maharani sijuii aliemtoaaa dawa n MojaaaaNi ajabu sana yaani kikundi kidogo cha watu kinanyima raha na uhuru kundi kubwa la watu. Hivi inashindikana kujipanga na kuwaangamiza hao watu. Inasikitisha sana, tumekuwa waoga kiasi hiki!
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] wee jamaa hebu andika vizur . una Maelezo mazur TATIZO unaandika kama umekunywa virobaHidakubwaa anashirikiana nawatoto wa hapoohapo saswakikamatwa wanashindwa kuwapigawanaita ati defender njooni kawe tegetat muwaulize defender hukuu zinabeba Maori.... Inaumiza Sana aliwatesa Sana wafanyakazi wa airport wanaotoka saatanoo naalewanaingia asbh Sana'a akinyanyua pangs kimbia arudishi nyuma amekatakata sanahadi maharani sijuii aliemtoaaa dawa n Mojaaaa
Nendeni segerea tafuteni jaamaa wanajiita tiamaji.. Hawakama unashida najambazi kamahilo hela ndogotu waonyeshe pics defender wakiitwa ujue wanakuja hakiki maitiyao
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Acha kulialia ww ! mwanaume hasifiwi kula ! Mkuu wa mkoa alishasema mpambane kama ni silaha za jadi wanazotumia mnazo pia.Acheni kujirembaremba nyie wanaume wa dar !
Sabb Dar kuna usela mwingi na wajanja kibaoHivi mboni watu kama hao huwa wanaibuka Dar tu..?
Kiuhalisia raia Tz ni wastaarabu sana na si waoga kama unavyotaka kumaanisha.Ni ajabu sana yaani kikundi kidogo cha watu kinanyima raha na uhuru kundi kubwa la watu. Hivi inashindikana kujipanga na kuwaangamiza hao watu. Inasikitisha sana, tumekuwa waoga kiasi hiki!
Hidakubwaa anashirikiana nawatoto wa hapoohapo saswakikamatwa wanashindwa kuwapigawanaita ati defender njooni kawe tegetat muwaulize defender hukuu zinabeba Maori.... Inaumiza Sana aliwatesa Sana wafanyakazi wa airport wanaotoka saatanoo naalewanaingia asbh Sana'a akinyanyua pangs kimbia arudishi nyuma amekatakata sanahadi maharani sijuii aliemtoaaa dawa n Mojaaaa
Nendeni segerea tafuteni jaamaa wanajiita tiamaji.. Hawakama unashida najambazi kamahilo hela ndogotu waonyeshe pics defender wakiitwa ujue wanakuja hakiki maitiyao
Trump ananichanganyampwaKha! Mpwaaa
Endelea kutuvuruga babaa