Kwaiyo Hanitoni wewe unaweza kupambana na mtu mwenye mapanga mawili na wewe una funguo tu??
Baada ya Scorpion kufanya yake Buguruni sasa kuna mtu mwingine ameibuka kutoka huko Dar maeneo ya stakishari akijulikana kwa jina la RAMBO huyu inasemekana anatembea na mapanga mawili na huwa akikutana na wanaume basi huwakata mapanga
Sasa kwa hali hiyo imepelekea wanaume wa Dar wakazi wa eneo la stakishari kutorudi nyumbani kwa kuhofia kukatwa mapanga na RAMBO.
Suala hili limepelekea kuingiwa na hofu na matokeo yake wanalala bar kuhofia kurudi nyumbani.
Ifike wakati wananchi tuchukue hatua kunusuru masuala haya.
Chanzo: Clouds fm
Subiri anaandaa tamko.Makonda anasemaje kuhusu hili?
ninachojichekesha hapo ni kuona kitoto cha 90 kinavyotingisha jiji na mibaba yenye midevu inavyoogopaSa unachojichekesha hapo ni nini?
yaah mi najua alikamatwa daa aliniotea nilikua na dem nashukuru nilimwambia niachie line akanielewa uzur alinikuta na bangi hakutupiga wala kutukata pangaRambo alishakamatwa mda sanaa na yupo jela labda kama aliachiwa, au mleta mada amesikiliza kipindi cha zamani
Sitaki Shari ni kituo kikubwa sana cha Polisi. Lakini hii ndiyo Dar though hii habari itakuwa ya zamani sanaHakuna askari huko?
hahahahah wanaume wa dar mpka lini?????Baada ya Scorpion kufanya yake Buguruni sasa kuna mtu mwingine ameibuka kutoka huko Dar maeneo ya stakishari akijulikana kwa jina la RAMBO huyu inasemekana anatembea na mapanga mawili na huwa akikutana na wanaume basi huwakata mapanga
Sasa kwa hali hiyo imepelekea wanaume wa Dar wakazi wa eneo la stakishari kutorudi nyumbani kwa kuhofia kukatwa mapanga na RAMBO.
Suala hili limepelekea kuingiwa na hofu na matokeo yake wanalala bar kuhofia kurudi nyumbani.
Ifike wakati wananchi tuchukue hatua kunusuru masuala haya.
Chanzo: Clouds fm
Mkoa gani???Mbona mkoani vmbwanga kama hiv hamna wakuu?