Baada ya Scorpion sasa aibuka Rambo maeneo ya Stakishari

Baada ya Scorpion sasa aibuka Rambo maeneo ya Stakishari

Umenikumbusha mbali sana Mkuu.
Nakumbuka mwaka 2011 night kali kwenye saa 7 natoka zangu kwenye sherehe,ghafla kucheki mbele nakutana na mtu kama 10 hivi kila mmoja ana silaha yake,mapanga,nondo,sime,bisibisi na silaha nyingine za kutisha.Sikuuliza,nikaanza kufukua,nao wakaanza kunifukuza.Kilichonisaidia nilikuwa nakimbia huku napiga makelele ya mwiiziii mwiiziii,hapo nikawakata moto,wengine wakawa wanapunguza mwendo,wengine wakawa wanateleza kwenye matope(kilikuwa ni kipindi cha mvua),mpaka nikawaacha wote.
Nimesha-survive sana kwenye matukio kama hayo.
Ila MUNGU mkubwa.
pole sana mkuu
 
Hawa clouds nao wanakuza mambo na kuwatia watu hofu vibaka wa aina hii wapo tu mtaani kila siku serikali na pamoja na wananchi tuwabaini tuwadhibiti hawana lolote wananchi tukiamua tunawafahamu tunawalea na kuwapa majina ya ushindi Rambo scorpion
 
ase waje huku mbezi beach jamani..
tuna silaha za moto kila siku tunapoteza risasi kwenye kambi za jeshi kwa mafuzo ya shabaha

yani hii kitu nisipochabanga majambazi kama hayo daaah..ntakiuza mwakani

ngoja nitafute nyumba nije kupanga uko niwafwate ao akina rambo [HASHTAG]#Glock26[/HASHTAG] 9mm GANG
 
Nchi zingine vibaka wasumbufu wanapigiwa kura wanabainika serikali inawapoteza kimyakimya ili wananchi wawe na amani,sababu ni hatari Kwetu na watalii pia.Mfano Rwanda unatembea usiku kucha Kwa amani hata kama unapesa kiasi gani kule vibaka sugu hawana nafasi kama serikali inaweza kutokomeza mbwa vichaa itashindwa vipi Kwa hawa vibaka,Pia wangehukumiwa Kwa kipengele cha makosa ya uzoefu wa kujirudia hata asipokuwepo anaemstaki.
 
Back
Top Bottom