Kiuhalisia raia Tz ni wastaarabu sana na si waoga kama unavyotaka kumaanisha.
Hilo la kwanza.
La pili, hakuna kesi sumbufu nchini Tz kama kesi ya mauaji. Unapoua au mnapoua mtu haijalishi ni kibaka au jambazi, upepo unaweza kuwabadilikia kutokana na mazingira, sheria inapotafuta kufuata mfareji wake.
Kuua ni njia bora sana kukomesha uhalifu, sababu sheria kwa wezi ni butu na kumshinda mporaji mahakamani ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano. Pia, hadi nyie wauaji mhakikishe mnaziba mianya yote ya kupata usumbufu baada ya kuwa mmetekeleza azima yenu.
Vinginevyo ni mahangaiko na kupotezeana muda. Maana kukaa mahabusu kwa tuhuma za mauaji si chini ya miaka mi5 na kuendelea.
Sasa watu wanakuwa wapole kulinda "future"zao na si waoga kama unavyodhania wewe.