Baada ya Scorpion sasa aibuka Rambo maeneo ya Stakishari

Baada ya Scorpion sasa aibuka Rambo maeneo ya Stakishari

Hanitoni

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2015
Posts
1,146
Reaction score
990
Baada ya Scorpion kufanya yake Buguruni sasa kuna mtu mwingine ameibuka kutoka huko Dar maeneo ya stakishari akijulikana kwa jina la RAMBO huyu inasemekana anatembea na mapanga mawili na huwa akikutana na wanaume basi huwakata mapanga

Sasa kwa hali hiyo imepelekea wanaume wa Dar wakazi wa eneo la stakishari kutorudi nyumbani kwa kuhofia kukatwa mapanga na RAMBO.

Suala hili limepelekea kuingiwa na hofu na matokeo yake wanalala bar kuhofia kurudi nyumbani.
Ifike wakati wananchi tuchukue hatua kunusuru masuala haya.

Chanzo: Clouds fm

=========================
Habari Zaidi

Hali ya usalama katika eneo la uwanja wa ndege maeneo ya ukonga sio salama tena.

Hii inatokana na yule kijana kwa jina abdul chata maarufu kama rambo mkata watu mapanga na kujeruhi watu ifikapo mida ya usiku akiwa akishirikiana na kundi la wahuni maarufu kama panya road .....,

Awali mwaka 2015 kijana huyu kwa kushirikiana na vijana wenzake alifanya uharifuu wa kupora watu mali zao kama simu, pesa na vitu vidogo vidogo akimaliza kukupora ni lazima akupige panga la uso au kichwani akuache na alama usoni ya panga.

Mwaka 2015 mwaka jana huyu alijeruhi watu wengi hadi ilifikia hatua alimkata ziwa dada mmoja mfanyakazi wa airport na kuondoka nalo na kumsababishia huyo mdada maumivu makalii sana ,

Baada kufanya matukio mazito kama hayo polisi walimkamata kwa ushirikiano na raia lakini cha kushangaza kijana huyu alienda jela na ametoka mwaka huu kutoka jelaaa.

Baada ya kutoka yeye jelaa aliamua kurudi mtaani na kupiga watu mapanga na hivi sasa ameshafanya hayo matukio ya kupiga watu mapangaa.... ,

Hivoo hadi sasa eneo la uwanja ndege halk sio salama

Source of the mimi mwenyewe nilko huku
 
baada ya scorpion kufanya yake buguruni sasa kuna mtu mwingine ameibuka kutoka huko dar stakishali akijulikana km RAMBO huyu inasemekana anatembea na mapanga mawili na huwa akikutana na wanaume basi huwakata mapanga

sasa kwa hali hiyo imepelekea wanaume wa dar wakazi wa eneo la stakishali kutorudi nyumbani kwa kuhofia kukatwa mapanga na RAMBO.

wanaume wa dar bado wanaonekana mdebwedo na nyororo kwa kushindwa kuzuia matukio km hayo na matokeo yake wanalala bar kuhofia kurudi nyumbani.HIVI NYIE WANAUME WA DAR MNAMATATIZO GANI??acheni ujinga ujinga bna

source heka heka clouds fm
Wewe ndiyo mfadhili wake, Hivyo Rambo kakutuma umtangaze?
 
Inaonekana wewe ndo Rambo wenyewe unaetisha wanaume wanarudi nyumbani usiku
 
Picha za wahanga walioshambuliiwa na rambo tafadhali.![emoji15]
 
Ila si anatafutwa?
nimecheka pale ambapo mama yake anapiga maombi ili akamatwe
 
Rambo alishakamatwa mda sanaa na yupo jela labda kama aliachiwa, au mleta mada amesikiliza kipindi cha zamani
 
Back
Top Bottom