KIKOSIKAZI
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 2,219
- 1,150
Hivi kwa nini sasa wakamatwe? Ni mafanikio ya awamu ya Nne ya serikali tukufu. Mafanikio ya sera ya chama chetu pendwa
Wanaume wa Dar hutishwa hata na kuvuli chao wenyewe, maneno mengu kuchwani kweupe, hao clouds wentewe ni walewale tu.Baada ya Scorpion kufanya yake Buguruni sasa kuna mtu mwingine ameibuka kutoka huko Dar maeneo ya stakishari akijulikana kwa jina la RAMBO huyu inasemekana anatembea na mapanga mawili na huwa akikutana na wanaume basi huwakata mapanga
Sasa kwa hali hiyo imepelekea wanaume wa Dar wakazi wa eneo la stakishari kutorudi nyumbani kwa kuhofia kukatwa mapanga na RAMBO.
Suala hili limepelekea kuingiwa na hofu na matokeo yake wanalala bar kuhofia kurudi nyumbani.
Ifike wakati wananchi tuchukue hatua kunusuru masuala haya.
Chanzo: Clouds fm
Baada ya Scorpion kufanya yake Buguruni sasa kuna mtu mwingine ameibuka kutoka huko Dar maeneo ya stakishari akijulikana kwa jina la RAMBO huyu inasemekana anatembea na mapanga mawili na huwa akikutana na wanaume basi huwakata mapanga
Sasa kwa hali hiyo imepelekea wanaume wa Dar wakazi wa eneo la stakishari kutorudi nyumbani kwa kuhofia kukatwa mapanga na RAMBO.
Suala hili limepelekea kuingiwa na hofu na matokeo yake wanalala bar kuhofia kurudi nyumbani.
Ifike wakati wananchi tuchukue hatua kunusuru masuala haya.
Chanzo: Clouds fm
....acha mboyoyo,kwani Stakishari ipo Vigwaza!?Mwambieni huyo boya aje huku Ukonga nyambafu zake.
....uchawi ni nadharia tu;kivuli chake usiku mnene??..Huyo Rambo alikuwa ndani katoka katokaje,nani alimsaidia kutoka pia ni mchawi hatari Kwa kushirikiana na bibi yake anaenufaika Kwa wizi mkimuona pigeni kivuli chake ndo atadhurika ameshindika mwenye Picha zake zipostiwe.
Hahaaa wamepata excuse ya kulala kwa mchepukoSasa hao wanaume wanalala wapi km makwao hawarud ???
Mhh, hayo majina!!!??gongo la mboyo yupo cheki noris noma huyo hana mchezo
Acha kulialia ww ! mwanaume hasifiwi kula ! Mkuu wa mkoa alishasema mpambane kama ni silaha za jadi wanazotumia mnazo pia.Acheni kujirembaremba nyie wanaume wa dar !Hali ya usalama katika eneo la uwanja wa ndege maeneo ya ukonga sio salama tena.
Hii inatokana na yule kijana kwa jina abdul chata maarufu kama rambo mkata watu mapanga na kujeruhi watu ifikapo mida ya usiku akiwa akishirikiana na kundi la wahuni maarufu kama panya road .....,
Awali mwaka 2015 kijana huyu kwa kushirikiana na vijana wenzake alifanya uharifuu wa kupora watu mali zao kama simu, pesa na vitu vidogo vidogo akimaliza kukupora ni lazima akupige panga la uso au kichwani akuache na alama usoni ya panga.
Mwaka 2015 mwaka jana huyu alijeruhi watu wengi hadi ilifikia hatua alimkata ziwa dada mmoja mfanyakazi wa airport na kuondoka nalo na kumsababishia huyo mdada maumivu makalii sana ,
Baada kufanya matukio mazito kama hayo polisi walimkamata kwa ushirikiano na raia lakini cha kushangaza kijana huyu alienda jela na ametoka mwaka huu kutoka jelaaa.
Baada ya kutoka yeye jelaa aliamua kurudi mtaani na kupiga watu mapanga na hivi sasa ameshafanya hayo matukio ya kupiga watu mapangaa.... ,
Hivoo hadi sasa eneo la uwanja ndege halk sio salama
Source of the mimi mwenyewe nilko huku