Baada ya Scorpion sasa aibuka Rambo maeneo ya Stakishari

Baada ya Scorpion sasa aibuka Rambo maeneo ya Stakishari

sylvester_stallone_rambo_first_blood_movie_image__2_.jpg
 
Msishangae kesho kumsikia wengine kama Anold au Van dame mitaa ya Kinondoni
 
Aisee acheni dar iitwe dar yani mtu mmoja anafunga mtaa mzima au huo mtaa wanaishi wanawake na watoto tu?
Usiku kila mtu yupo kwake ss Ww ukipita ndio unavamiwa...hujiulizi kwann wanafanya uhalifu usiku
 
Msishangae kesho kumsikia wengine kama Anold au Van dame mitaa ya Kinondoni
Kinondoni vichwa panzi vipo vingi ,usiku usitembee hovyo kule na afadhali siku hz singeli,vigodoro vimepigwa marufuku usku sbb ilikuwa noma huku kino,japo bado wapo
 
Tatizo wengi wao utokea hizi jamii za wenyeji na wenyeji wanaogopa kuwadhuru vibaka hao sababu ya kuoneana aibu mtoto wa fulani .Na pia ni udhaifu wa wakazi husika mitaa ya airport mbali na Rambo yupo mwingine Godi Sanjo wanakaba hadi wazungu wanaokuja hotelin FQ ambayo ni aibu Kwa taifa washaingia mahabusu hata zaid ya Mara elfu baada ya muda wanaachiwa sababu hakuna RAIA anaefatilia kesi baada ya kuporwa Sanjo ashawahi mkaba hadi Mkuu wa upelelezi,wanajeshi,wazungu nk hivi hakuna Sheria ya kumuhukumu kibaka kutokana na kipengele cha makosa ya uzoefu wa makosa ya kujirudiarudia hata kama waporwaji wasipofatilia kesi sababu mlolongo wa mahakama na mambo ya upelelezi haujakamilisha watu wanashindwa kufuatilia kesi ili vibaka hao waondolewe kwenye jamii maana huku hakuna amani watu wanamuogopa Rambo anaingia hadi ofisi za walimu mchana anawateka na anachukua simu zao.Wao mahabusu ni sawa na kitandani wakiwa ndani watu wanaamani,imefikia mahali watu wamekata tamaa wajichukulie sheria.Ndio shida ya Dar bora mbaki mikoani.
Haha huku kitaa watabe kama hao wapo na wanajulikana lkn uzuri hawamkabi mwenyeji au mtu wanayemjua lkn kama mgeni ,hujulikani number utaisoma

Kuna kulindana ttz
 
Wanaume wote wa sitakishari mnamshindwa RAMBO?
Km unakula muhindi na chumvi pamoja na pili pili mtatoa nguvu wapi za kupigana? Mwanaume unakula chips. Mbona ss hayo matukio hatuna?
Mara panya road, scorpion n.k
WANAUME WA DAR BANA, LEGE LEGE SANA
Aje huku Mara aone cha mtema kuni. Hakuna cha Rambo wala cha bibi yake na Rambo.
Principle ni moja huwezi kumkuta mzawa wa ukonga eti akafanye uhalifu tabata ,hawezi kufanya hvy sabb lzm atachomwa moto

Huyo aende Mara sehemu ambayo hajulikani ,lzm atakufa

Hawa wababe wote wanafanya ujinga huu mitaani kwao sabb wanajulikana na wazawa wa hiyo sehemu kwahy vigumu kumdhuru na pia company/maskani anayo

Kuleana..siku zote wanaouliwa ni wahalifu ambao hawajulikani lkn wazawa kuna kuleana
 
Hivi hao panya road wanashindwa kwenda kufunga mtaa kariakoo au karume na mapanga yao
 
Hao watu mbona hawatokeagi mitaa tunayoishi sisi? Yani kajitu kamoja kanasumbua mtaa mzima? Watu Design ya Rambo na Scorpion ni kuwatengua viuno na kukata viganja na miguu nusu basi unamwacha au kumwagia concentrated hydrochloric Acid mwili mzima.
 
Tatizo wengi wao utokea hizi jamii za wenyeji na wenyeji wanaogopa kuwadhuru vibaka hao sababu ya kuoneana aibu mtoto wa fulani .Na pia ni udhaifu wa wakazi husika mitaa ya airport mbali na Rambo yupo mwingine Godi Sanjo wanakaba hadi wazungu wanaokuja hotelin FQ ambayo ni aibu Kwa taifa washaingia mahabusu hata zaid ya Mara elfu baada ya muda wanaachiwa sababu hakuna RAIA anaefatilia kesi baada ya kuporwa Sanjo ashawahi mkaba hadi Mkuu wa upelelezi,wanajeshi,wazungu nk hivi hakuna Sheria ya kumuhukumu kibaka kutokana na kipengele cha makosa ya uzoefu wa makosa ya kujirudiarudia hata kama waporwaji wasipofatilia kesi sababu mlolongo wa mahakama na mambo ya upelelezi haujakamilisha watu wanashindwa kufuatilia kesi ili vibaka hao waondolewe kwenye jamii maana huku hakuna amani watu wanamuogopa Rambo anaingia hadi ofisi za walimu mchana anawateka na anachukua simu zao.Wao mahabusu ni sawa na kitandani wakiwa ndani watu wanaamani,imefikia mahali watu wamekata tamaa wajichukulie sheria.Ndio shida ya Dar bora mbaki mikoani.
Hilo ulilosema ni sahihi.....kuoneana aibu miongoni mwa Jamaa za wenyeji na hao vibaka hufanya hayo matukio karibu a makwao huwa hawakabi wanaemjua.....ndo maana wanaendelea kuwepo...!
 
Hali ya usalama katika eneo la uwanja wa ndege maeneo ya ukonga sio salama tena.

Hii inatokana na yule kijana kwa jina abdul chata maarufu kama rambo mkata watu mapanga na kujeruhi watu ifikapo mida ya usiku akiwa akishirikiana na kundi la wahuni maarufu kama panya road .....,

Awali mwaka 2015 kijana huyu kwa kushirikiana na vijana wenzake alifanya uharifuu wa kupora watu mali zao kama simu, pesa na vitu vidogo vidogo akimaliza kukupora ni lazima akupige panga la uso au kichwani akuache na alama usoni ya panga.

Mwaka 2015 mwaka jana huyu alijeruhi watu wengi hadi ilifikia hatua alimkata ziwa dada mmoja mfanyakazi wa airport na kuondoka nalo na kumsababishia huyo mdada maumivu makalii sana ,

Baada kufanya matukio mazito kama hayo polisi walimkamata kwa ushirikiano na raia lakini cha kushangaza kijana huyu alienda jela na ametoka mwaka huu kutoka jelaaa.

Baada ya kutoka yeye jelaa aliamua kurudi mtaani na kupiga watu mapanga na hivi sasa ameshafanya hayo matukio ya kupiga watu mapangaa.... ,

Hivoo hadi sasa eneo la uwanja ndege halk sio salama

Source of the mimi mwenyewe nilko huku
Jitafuteni watu km kumi tu....muwindeni nae......mumpe hukumu yake......!msijipe unyonge.
 
Ni ajabu sana yaani kikundi kidogo cha watu kinanyima raha na uhuru kundi kubwa la watu. Hivi inashindikana kujipanga na kuwaangamiza hao watu. Inasikitisha sana, tumekuwa waoga kiasi hiki!
Unadhani kwaharakati za dar nirahisi kuunganisha watu kil mtu namishe zake hilo linawezekana kijijin tu
 
Baada ya Scorpion kufanya yake Buguruni sasa kuna mtu mwingine ameibuka kutoka huko Dar maeneo ya stakishari akijulikana kwa jina la RAMBO huyu inasemekana anatembea na mapanga mawili na huwa akikutana na wanaume basi huwakata mapanga

Sasa kwa hali hiyo imepelekea wanaume wa Dar wakazi wa eneo la stakishari kutorudi nyumbani kwa kuhofia kukatwa mapanga na RAMBO.

Suala hili limepelekea kuingiwa na hofu na matokeo yake wanalala bar kuhofia kurudi nyumbani.
Ifike wakati wananchi tuchukue hatua kunusuru masuala haya.

Chanzo: Clouds fm

=========================
Habari Zaidi

Wanaume kwa makumi wanaogopa kikundi cha wahuni.

Hao wahuni kama wanajimini ni wanaume wanaoweza kutumia vilivyo mapanga yao, siku moja watembelee Kwamwanagati, huko huko Dar.

Wakimudu kupata nauli wapande moja ya mabasi yaendayo Musoma. Wakifika huko washuke kituo chochote watawakuta wanaume.
 
Nyie wa mikoani mnaongea sana.kama yule mtangazaji wa clouds.Musa Hussein.anaambiwa akasaidie yeye anaanza kujiuma uma.
musa Hussein sio wa mkoani ni dar product maneno mengiii vitendo empty ....Sema wanaume wa dar mnazingua sana asee sijui zaidi ya ngono na starehe mnaweza nini kingine
 
Aisee acheni dar iitwe dar yani mtu mmoja anafunga mtaa mzima au huo mtaa wanaishi wanawake na watoto tu?

Yaani kuna vitu ukiacha utani vinatia kinyaa mtu mmoja v/s mtaa mzima??.
Badilikeni mnatia aibu.
 
Kiuhalisia raia Tz ni wastaarabu sana na si waoga kama unavyotaka kumaanisha.
Hilo la kwanza.
La pili, hakuna kesi sumbufu nchini Tz kama kesi ya mauaji. Unapoua au mnapoua mtu haijalishi ni kibaka au jambazi, upepo unaweza kuwabadilikia kutokana na mazingira, sheria inapotafuta kufuata mfareji wake.
Kuua ni njia bora sana kukomesha uhalifu, sababu sheria kwa wezi ni butu na kumshinda mporaji mahakamani ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano. Pia, hadi nyie wauaji mhakikishe mnaziba mianya yote ya kupata usumbufu baada ya kuwa mmetekeleza azima yenu.
Vinginevyo ni mahangaiko na kupotezeana muda. Maana kukaa mahabusu kwa tuhuma za mauaji si chini ya miaka mi5 na kuendelea.
Sasa watu wanakuwa wapole kulinda "future"zao na si waoga kama unavyodhania wewe.
Mimi sio muumin wa kuua vibaka. Na wala sihubiri mauaji. Ninachosema watu wanatakiwa wajipange na kujizatiti kimkakati ili kukabiliana na tishio la vibaka hasa kwa kutumia ulinzi shirikishi. Ukumbuke hao vibaka wanaposhambulia raia huanza kutaharuki na kukimbia hovyo. Iwapo watu watajipanga na kuwakabili kwa kutumia umoja wao sidhani kama hao kina Rambo feki watatamba katika hilo eneo wanalojitangazia kulimiliki. Tupunguze uoga ili kuwakabili vibaka.
 
Back
Top Bottom