keyword apo ni lishe na mazoeziKwa mwanamke ni kweli ila mwanaume i doubt maana kuna wanaume wapo in their 40+ and 50+ but miili yao ipo physically fit and good looking as if wapo in their late 20's.
Changamoto inatokea kama mwanaume hayupo vema eneo la lishe,mazoezi, na kudeal na stress.
Hakuna mazoezi wala nini anaishi kijijini ni mkulima tu.anafanya mazoezi?
Sijanyi zoezi lolote zaidi ya kula huku nikitarajia kitambi kitokeahaa, basi kazana na tizi ila kupumzika kwa mda mrefu mfano leo zoezi kesho kutwa ndo unarudi tena
Uongo,mbona ufisadi wa ccm miaka 60,unakua kwa kasi kiasi cha kugeuka tembo badala ya binadamu wa kawaida?Unapofika miaka 3, viungo vyote vya mwili hufika ukomo wa ukuaji hivo kila kitu kinaanza kurudi chini, mfano unachelewa kupona vidonda, dawa nyingi zinakukataa na maradhi huja mara kwa mara, kitakchokusaidia ni kama ulikua mtu wa mazoezi nyuma! kama ulikua na lifestyle nzuri ya mazoezi basi mwili wako hua katika kiwango cha juu sana cha metabolism
Ukifika miaka 35, unaanza kuporomoka lakini sio kutoka kiwango sawa na cha mtu ambae sio wa mazoezi! wewe unaaanza juu sana kukadiria mwili wako huchoka zaidi unapofika miaka 45 - 50 kama ulikua mtu wa mazoezi, lakini mda huo mtu wa kawaida huporomoka 50% mwili mzima, wengi kuvuka miaka 50 ni ngumu sana kwan mwili umeshachoka karibia nusu nzima, sehem zingine ukifika 60 basi unaachishwa kazi(kustaafu)
kwa wale ambao bado mko chini ya 40, fanya vyote ila mazoezi usisahau! naongea ivi kwa huzuni baada ya kushuhudia watu wana magonjwa ambayo hospitali wanasema hauna dawa, pia issue ya kisukari ni kubwa sana usisubiri mpaka magazeti yaanze kuandika
- stakehigh
- fanya mazoezi ujana
- Replies: 368
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Kuna bandiko nilisomaga mda sana, wanasema dalili za uzee kwa kwa mwanadamu huanza kujitokeza kuanzia miaka 27.Unapofika miaka 3, viungo vyote vya mwili hufika ukomo wa ukuaji hivo kila kitu kinaanza kurudi chini, mfano unachelewa kupona vidonda, dawa nyingi zinakukataa na maradhi huja mara kwa mara, kitakchokusaidia ni kama ulikua mtu wa mazoezi nyuma! kama ulikua na lifestyle nzuri ya mazoezi basi mwili wako hua katika kiwango cha juu sana cha metabolism