Baada ya miaka 35, mwili hufika ukomo wa ukuaji

Baada ya miaka 35, mwili hufika ukomo wa ukuaji

stakehigh

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
18,905
Reaction score
14,674
Unapofika miaka 3, viungo vyote vya mwili hufika ukomo wa ukuaji hivo kila kitu kinaanza kurudi chini, mfano unachelewa kupona vidonda, dawa nyingi zinakukataa na maradhi huja mara kwa mara, kitakchokusaidia ni kama ulikua mtu wa mazoezi nyuma! kama ulikua na lifestyle nzuri ya mazoezi basi mwili wako hua katika kiwango cha juu sana cha metabolism

Ukifika miaka 35, unaanza kuporomoka lakini sio kutoka kiwango sawa na cha mtu ambae sio wa mazoezi! wewe unaaanza juu sana kukadiria mwili wako huchoka zaidi unapofika miaka 45 - 50 kama ulikua mtu wa mazoezi, lakini mda huo mtu wa kawaida huporomoka 50% mwili mzima, wengi kuvuka miaka 50 ni ngumu sana kwan mwili umeshachoka karibia nusu nzima, sehem zingine ukifika 60 basi unaachishwa kazi(kustaafu)

Unapofika miaka 3, viungo vyote vya mwili hufika ukomo wa ukuaji hivo kila kitu kinaanza kurudi chini, mfano unachelewa kupona vidonda, dawa nyingi zinakukataa na maradhi huja mara kwa mara, kitakchokusaidia ni kama ulikua mtu wa mazoezi nyuma! kama ulikua na lifestyle nzuri ya mazoezi basi mwili wako hua katika kiwango cha juu sana cha metabolism

ukifika miaka 35, unaanza kuporomoka lakini sio kutoka kiwango sawa na cha mtu ambae sio wa mazoezi! wewe unaaanza juu sana kukadiria mwili wako huchoka zaidi unapofika miaka 45 - 50 kama ulikua mtu wa mazoezi, lakini mda huo mtu wa kawaida huporomoka 50% mwili mzima, wengi kuvuka miaka 50 ni ngumu sana kwan mwili umeshachoka karibia nusu nzima, sehem zingine ukifika 60 basi unaachishwa kazi(kustaafu)
Tushauri basi, tufanyeje
 
35 ushazeeeka kabisa, apo ni kupanga siku zako za mwishoo
Acheni uongo basi mshua wabgu ana mia 49 mbona yupo sawa tu tena anaonekana kama kijana, mimi nina miaka 26 kwahiyo bado miaka kidhaa tu nizeeke na sina hata mke? acheni uongo wakubwa.
 
Kwa mwanamke ni kweli ila mwanaume i doubt maana kuna wanaume wapo in their 40+ and 50+ but miili yao ipo physically fit and good looking as if wapo in their late 20's.

Changamoto inatokea kama mwanaume hayupo vema eneo la lishe,mazoezi, na kudeal na stress.
 
Back
Top Bottom