Baada ya Miaka 2, natamani Ndoa yangu ivunjike

Natamani kuvunja ndoa yangu.

Habari zenu wakuu, natumai mko poa. Nimekuja na nia ya dhati kutafuta ushauri kuhusu jambo langu ambalo linanitatiza.

Mimi ni msichana mwenye umri chini ya miaka 30. Nina mtoto mmoja wa kiume. Nimekuwa katika ndoa na mume wangu kwa takriban miaka miwili sasa.

Sababu za maamuzi yangu ni kama ifuatavyo:

1. Uchepukaji uliokithiri: Huyu mume wangu amekuwa akinihadaa sana. Sijawahi kuona kitu kilichoniumiza zaidi ya kugundua kuwa anatoka na wanawake wengine. Ameomba msamaha kila mara ninapomfumania, lakini bado anarudia tabia hiyo. Kesi zetu zimekuwa nyingi kwa wazazi na nadhani wamechoka kutusuluhisha.

2. Ulevi uliopitiliza: Mume wangu ni mlevi sana. Kurudi nyumbani asubuhi ni jambo la kawaida kwake. Nimeshazungumza naye na kumweleza jinsi ninavyojisikia kuhusu tabia yake ya kunywa kupindukia, ingawa anahudumia familia vizuri. Lakini, hupati muda na familia kabisa. Inanidhalilisha sana kwa sababu tunakaa na mdogo wake nyumbani, hivyo najihisi vibaya sana anaporudi asubuhi.

Ndoa yetu imefungwa kanisani na tumekuwa tukiishi pamoja kwa miaka miwili tu. Nashauriwa nifanye nini kuhusu maamuzi yangu haya, maana sijisikii furaha kabisa katika ndoa hii. Na mimi ni mchanga sana kuishi kama hivi hadi kifo kitutenganishe.
Duh aisee[emoji26]
Pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kubadilisha hulka ya mtu, na ikiwa uliingia kwenye ndoa kwa matamanio fulani basi ivunje hiyo ndoa na ushike njia nyingine
 
Moyo Unaniuma Sana , Kwa sababu mimi Sijawai hata kuwaza kumsaliti Then Magonjwa mengi Now days
Hapa nimekuelewa sana, kweli unachosema magonjwa, ebu siku mjaribu Kama vipi tutengane vyumba labda anaweza kujirekebisha kiasi.
 
Umeeleza tabia zake. Wewe tabia zako zikoje? Una hakika wewe hujachangia kumfanya awe na tabia hizo?
Na hapo ndipo huwa wanaruka.
Wanawake wanachangia sana wanaume kubadirika. Mwisho wa siku wanaanza kulalama Kwa matatizo waliyo yaanzisha wenyewe
 
Wanaume hatupendi kelele.
Huenda wewe una kelele sana na hiyo ndo sababu kuu ya ulevi wa mumeo na uchepukaji.

Cha kufanya we mwache kwa muda hata wa mwezi mmoja bila kumpigia kelele za uliwa wapi, kila siku nasema hili, we mwanaume mlevi sana, hujali familia, mbona wenzio hawako ivo nk nk.

Uwe busy na kazi au biashara yako, akiona umebadilika kazi itakua kwake sasa kuanza kufatilia kwanini hupigi kelele tena, au unachepuka akikuuliza ndo hapo mtakaa sawa.

Kelele, vikao na mshataka kwa wazazi haviwezi mbadilisha.

Naunga mkono hoja[emoji1666][emoji1666] Acha kumfatilia na kumpigia kelele na kama asiporudi usipige cm hata kuuliza upo wapi we tuma tu txt moja ya kuonyesha una wasiwasi basii...
 
Anasema hiyo ni ngumu yeye ni lazima aongee nae.
Asizojua kuzidhibiti hisia zake hiyo ndoa ndo bye bye
 
Ndoa sio kitoto kama hauoni future katika ndoa yako bora kuangalia namna nyingine ya kurudisha upendo na kufanya mapatano ila kuvunja ndoa ni majuto mno baadae kwa vile binadamu wote ni hovyo.

Pia makosa yanavumilika ila tabia ya mtu ni kama ngozi ya mwili ila tambua wanaume wengi mpaka akifika 40's na kuendelea ndo akili inafanya kazi kama mtu mzima hapo atakuwa sana na kiu ya maendeleo .

Kabla ya ndoa jaribu kuangalia tabia za mtu hata kuulizia kwa watu wa karibu hii inasaidia sana kuliko kukurupuka ni hatari mno.
 
Pole sana, weka picha yako, members wakupe miongozo...
 
Pwani yote huko kwenye hiyo dini mnatiana sana wanaume, kuanzia Pemba upite hivyo ukanda wote wa Pwani ndio hulka zenu....
Sie watanganyika hatuna upuuzi huo wahuko kwenu, endeleeni na kutiwa maana mmezid kutiwa ndani hasa waume Kwa waume mnatiana Sana ndani.
 
Nyie wa dini hiyo hamna utaifa wala utanganyika wala nini, ukishajiunga unakua zombi, na ndio mna matukio ya ushoga sana ukanda huo.
 
wadini hiyo wamejaa West huko na Hapo Nairobi wanatiwa Sana ndani , lakini sie Watanganyika hatutaki michezo hiyo ya MOMBASA.
 
Mlianza na muasisi wenu
MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSAN Hadith Idadi 16,245:
 
Wanaume tuna mambo mengi sana,na hakuna mwanaume asiye na matukio hivyo vumilia tu mamito, maana maisha now ni magumu sana unaweza mkosa hata huyo wa kukuhudumia mahitaji...
 
Back
Top Bottom