Baada ya Miaka 2, natamani Ndoa yangu ivunjike

Huku nje wanaume wote ni wachepukaji,ukiamua kuondoka hakikisha unakufa bila kuolewa.
 
Haya mambo sio marahisi kiivyo
Kuna sister ake na brother yangu mmoja wa kazini alikuwa ananisimulia maswahibu ya dada yake, waliachana na mumewe baada ya kumfuma akijisevia house girl (dada yake anajiweza kiuchumi tena ni zile product za mbeya) na anacheo serikalini

fast forward now age imesogea kidogo sasa soko limeshuka hivyo yeye ndio anawinda wanaume ila wanaume wanamkimbia anaishia broke guys (wale bodaboda waliokula hela ya boss wanatafuta marejesho) kinachomkera jamaa ni vile wale boda hata upeo wao ni mdogo hivyo wanasimuliana hovyo hovyo
Sasa mtoa mada anatakiwa kufanya maamuzi kwa kuzingatia mustakabali mpana wa leo na kesho
 
Tafuta bebi wa akiba, mbona utatamani alale huko huko hata wiki. Usikae kizembe.
 
ndo mana Mimi nimejipangia room yangu zuuuuriii ya mana sana naaga na safari nyingisana ....inatosha kusema hivuo
 
Natamani kuvunja ndoa yangu.

Habari zenu wakuu, natumai mko poa. Nimekuja na nia ya dhati kutafuta ushauri kuhusu jambo langu ambalo linanitatiza.

Mimi ni msichana mwenye umri chini ya miaka 30. Nina mtoto mmoja wa kiume. Nimekuwa katika ndoa na mume wangu kwa takriban miaka miwili sasa.

Sababu za maamuzi yangu ni kama ifuatavyo:

1. Uchepukaji uliokithiri: Huyu mume wangu amekuwa akinihadaa sana. Sijawahi kuona kitu kilichoniumiza zaidi ya kugundua kuwa anatoka na wanawake wengine. Ameomba msamaha kila mara ninapomfumania, lakini bado anarudia tabia hiyo. Kesi zetu zimekuwa nyingi kwa wazazi na nadhani wamechoka kutusuluhisha.

2. Ulevi uliopitiliza: Mume wangu ni mlevi sana. Kurudi nyumbani asubuhi ni jambo la kawaida kwake. Nimeshazungumza naye na kumweleza jinsi ninavyojisikia kuhusu tabia yake ya kunywa kupindukia, ingawa anahudumia familia vizuri. Lakini, hupati muda na familia kabisa. Inanidhalilisha sana kwa sababu tunakaa na mdogo wake nyumbani, hivyo najihisi vibaya sana anaporudi asubuhi.

Ndoa yetu imefungwa kanisani na tumekuwa tukiishi pamoja kwa miaka miwili tu. Nashauriwa nifanye nini kuhusu maamuzi yangu haya, maana sijisikii furaha kabisa katika ndoa hii. Na mimi ni mchanga sana kuishi kama hivi hadi kifo kitutenganishe.
Usikimbie mji kisa inanyesha.!! It rains everyewhere. Ni suala la majira tu..!!
 
Hiki la kwanza inabidi uvumikie kifupi hakuna Mwanaume Rijali na aneweza kuwa na mwanamke mmoja hilo hata baba yako alishindwa

Hili la pili Jitahidi sana kuzungumza ne.wewe mwenyewe kuliko kushirikisha watu ikiwezekana mtafutie hata zile dawa za kuacha pombeeeee
 
Daaa pole sana I can feel ur pain...ndoa Ni ngumu mnoo hasa kwa hiki kipi Cha mitandao ya kijamii...Ila karibiaa wote wapoo hivyo hivyoo...choose ur option wisely
Wote wapo hivyo siyo..!! Basi akasagane yaishe..!! Maana sisi wanaume wote ni mbwa..!!! Akachague binadamu wa kike..!!
 
Ukisha achana nae akipata atakae mueka sawa itakuaje?
Wewe bado mdogo jaribu kumuelewesha vizuri, kama familia anahudumia vizuri hakuna shida.
Nenda kanisani kwa padre aliewafungisha ndoa muelezee yanayokusibu nadhani ataitwa na wazee wa kanisa tu.
Akishindwa na hapo achana nae tunawahitaji single mother mtaani sana tu.
Hiyo ya kuitwa kuna wanaume ni jeuri viburi halafu mingine utakuta hata hata mambo ya chumbani hakuna hapo anataka aseme tu iliaanze unaniabisha, unashindwa kutunza Siri za ndoa
 
Humo humo, ukibebewa na wewe unatafuta mnyonge unambebea.....mzani unabalance, nyumba inakuwa na amani visirani vinapungua......mkikua mnaacha mnalea wajukuu.
Unayafanya uliyomlaumu mwenzio akiyafanya..!!! By the way, Mamy K, hiyo K kirefu chake ni nini?
 
Natamani kuvunja ndoa yangu.

Habari zenu wakuu, natumai mko poa. Nimekuja na nia ya dhati kutafuta ushauri kuhusu jambo langu ambalo linanitatiza.

Mimi ni msichana mwenye umri chini ya miaka 30. Nina mtoto mmoja wa kiume. Nimekuwa katika ndoa na mume wangu kwa takriban miaka miwili sasa.

Sababu za maamuzi yangu ni kama ifuatavyo:

1. Uchepukaji uliokithiri: Huyu mume wangu amekuwa akinihadaa sana. Sijawahi kuona kitu kilichoniumiza zaidi ya kugundua kuwa anatoka na wanawake wengine. Ameomba msamaha kila mara ninapomfumania, lakini bado anarudia tabia hiyo. Kesi zetu zimekuwa nyingi kwa wazazi na nadhani wamechoka kutusuluhisha.

2. Ulevi uliopitiliza: Mume wangu ni mlevi sana. Kurudi nyumbani asubuhi ni jambo la kawaida kwake. Nimeshazungumza naye na kumweleza jinsi ninavyojisikia kuhusu tabia yake ya kunywa kupindukia, ingawa anahudumia familia vizuri. Lakini, hupati muda na familia kabisa. Inanidhalilisha sana kwa sababu tunakaa na mdogo wake nyumbani, hivyo najihisi vibaya sana anaporudi asubuhi.

Ndoa yetu imefungwa kanisani na tumekuwa tukiishi pamoja kwa miaka miwili tu. Nashauriwa nifanye nini kuhusu maamuzi yangu haya, maana sijisikii furaha kabisa katika ndoa hii. Na mimi ni mchanga sana kuishi kama hivi hadi kifo kitutenganishe.
“You are the master of your own destiny”, JF comments/advise won't prescribe the appropriate remedy for your marital predicament!
 
Natamani kuvunja ndoa yangu.

Habari zenu wakuu, natumai mko poa. Nimekuja na nia ya dhati kutafuta ushauri kuhusu jambo langu ambalo linanitatiza.

Mimi ni msichana mwenye umri chini ya miaka 30. Nina mtoto mmoja wa kiume. Nimekuwa katika ndoa na mume wangu kwa takriban miaka miwili sasa.

Sababu za maamuzi yangu ni kama ifuatavyo:

1. Uchepukaji uliokithiri: Huyu mume wangu amekuwa akinihadaa sana. Sijawahi kuona kitu kilichoniumiza zaidi ya kugundua kuwa anatoka na wanawake wengine. Ameomba msamaha kila mara ninapomfumania, lakini bado anarudia tabia hiyo. Kesi zetu zimekuwa nyingi kwa wazazi na nadhani wamechoka kutusuluhisha.

2. Ulevi uliopitiliza: Mume wangu ni mlevi sana. Kurudi nyumbani asubuhi ni jambo la kawaida kwake. Nimeshazungumza naye na kumweleza jinsi ninavyojisikia kuhusu tabia yake ya kunywa kupindukia, ingawa anahudumia familia vizuri. Lakini, hupati muda na familia kabisa. Inanidhalilisha sana kwa sababu tunakaa na mdogo wake nyumbani, hivyo najihisi vibaya sana anaporudi asubuhi.

Ndoa yetu imefungwa kanisani na tumekuwa tukiishi pamoja kwa miaka miwili tu. Nashauriwa nifanye nini kuhusu maamuzi yangu haya, maana sijisikii furaha kabisa katika ndoa hii. Na mimi ni mchanga sana kuishi kama hivi hadi kifo kitutenganishe.
Is he HAPPY na ndoa hiyo pia?
 
Mkuu kama unaweza kustand alone unawezajinasua lakn kama huwezi bora ufanye subra mpaka atakapobadilika ulevi na uzinzi sio ulemavu ipo siku ataacha huyo bdo hajapata negative effects za mambo hayo
Iko siku ataacha eee hapo tayari wana maradhi ndiyo anaacha halafu ukute mke ndiyo aandamwe na hayo maradhi kuliko yeye atakufa kabla ya siku zake
 
Back
Top Bottom