Nadhani huu ni Moja kati ya ushauri wenye mashiko; Maarifa Maarifa Maarifa, Maarifa ndo Kila kituWanaume hatupendi kelele.
Huenda wewe una kelele sana na hiyo ndo sababu kuu ya ulevi wa mumeo na uchepukaji.
Cha kufanya we mwache kwa muda hata wa mwezi mmoja bila kumpigia kelele za uliwa wapi, kila siku nasema hili, we mwanaume mlevi sana, hujali familia, mbona wenzio hawako ivo nk nk.
Uwe busy na kazi au biashara yako, akiona umebadilika kazi itakua kwake sasa kuanza kufatilia kwanini hupigi kelele tena, au unachepuka akikuuliza ndo hapo mtakaa sawa.
Kelele, vikao na mshataka kwa wazazi haviwezi mbadilisha.
Kwa lugha rahisi hamkujuana.Tulikua tunaishi mikoa tofauti , So Haya nilikua siyafahamu
Khaa [emoji28]Wanaume hatujaisha "Kama amekuchoka atuachie sisi"
Pole sana Dada mdogo. pamoja na kuolewa na unayemuita mlevi, nadhani ipo sababu iliyosababisha ukubali kuolewa naye. Je, sababu hiyo haipo tena?Natamani kuvunja ndoa yangu.
Habari zenu wakuu, natumai mko poa. Nimekuja na nia ya dhati kutafuta ushauri kuhusu jambo langu ambalo linanitatiza.
Mimi ni msichana mwenye umri chini ya miaka 30. Nina mtoto mmoja wa kiume. Nimekuwa katika ndoa na mume wangu kwa takriban miaka miwili sasa.
Sababu za maamuzi yangu ni kama ifuatavyo:
1. Uchepukaji uliokithiri: Huyu mume wangu amekuwa akinihadaa sana. Sijawahi kuona kitu kilichoniumiza zaidi ya kugundua kuwa anatoka na wanawake wengine. Ameomba msamaha kila mara ninapomfumania, lakini bado anarudia tabia hiyo. Kesi zetu zimekuwa nyingi kwa wazazi na nadhani wamechoka kutusuluhisha.
2. Ulevi uliopitiliza: Mume wangu ni mlevi sana. Kurudi nyumbani asubuhi ni jambo la kawaida kwake. Nimeshazungumza naye na kumweleza jinsi ninavyojisikia kuhusu tabia yake ya kunywa kupindukia, ingawa anahudumia familia vizuri. Lakini, hupati muda na familia kabisa. Inanidhalilisha sana kwa sababu tunakaa na mdogo wake nyumbani, hivyo najihisi vibaya sana anaporudi asubuhi.
Ndoa yetu imefungwa kanisani na tumekuwa tukiishi pamoja kwa miaka miwili tu. Nashauriwa nifanye nini kuhusu maamuzi yangu haya, maana sijisikii furaha kabisa katika ndoa hii. Na mimi ni mchanga sana kuishi kama hivi hadi kifo kitutenganishe.
Mwanamme anachepuka ili kulinda ndoa yake. Wewe unachepuka ili kuvunja ndoa yako. Ivunje uende kwa mchepuo wako.Natamani kuvunja ndoa yangu.
Habari zenu wakuu, natumai mko poa. Nimekuja na nia ya dhati kutafuta ushauri kuhusu jambo langu ambalo linanitatiza.
Mimi ni msichana mwenye umri chini ya miaka 30. Nina mtoto mmoja wa kiume. Nimekuwa katika ndoa na mume wangu kwa takriban miaka miwili sasa.
Sababu za maamuzi yangu ni kama ifuatavyo:
1. Uchepukaji uliokithiri: Huyu mume wangu amekuwa akinihadaa sana. Sijawahi kuona kitu kilichoniumiza zaidi ya kugundua kuwa anatoka na wanawake wengine. Ameomba msamaha kila mara ninapomfumania, lakini bado anarudia tabia hiyo. Kesi zetu zimekuwa nyingi kwa wazazi na nadhani wamechoka kutusuluhisha.
2. Ulevi uliopitiliza: Mume wangu ni mlevi sana. Kurudi nyumbani asubuhi ni jambo la kawaida kwake. Nimeshazungumza naye na kumweleza jinsi ninavyojisikia kuhusu tabia yake ya kunywa kupindukia, ingawa anahudumia familia vizuri. Lakini, hupati muda na familia kabisa. Inanidhalilisha sana kwa sababu tunakaa na mdogo wake nyumbani, hivyo najihisi vibaya sana anaporudi asubuhi.
Ndoa yetu imefungwa kanisani na tumekuwa tukiishi pamoja kwa miaka miwili tu. Nashauriwa nifanye nini kuhusu maamuzi yangu haya, maana sijisikii furaha kabisa katika ndoa hii. Na mimi ni mchanga sana kuishi kama hivi hadi kifo kitutenganishe.
Noma sanaMatatizo ya ndoa yanazidi kushika kasi kadri siku zinavyoenda,pole sana
NiPM nikupe MaelekezoNatamani kuvunja ndoa yangu.
Habari zenu wakuu, natumai mko poa. Nimekuja na nia ya dhati kutafuta ushauri kuhusu jambo langu ambalo linanitatiza.
Mimi ni msichana mwenye umri chini ya miaka 30. Nina mtoto mmoja wa kiume. Nimekuwa katika ndoa na mume wangu kwa takriban miaka miwili sasa.
Sababu za maamuzi yangu ni kama ifuatavyo:
1. Uchepukaji uliokithiri: Huyu mume wangu amekuwa akinihadaa sana. Sijawahi kuona kitu kilichoniumiza zaidi ya kugundua kuwa anatoka na wanawake wengine. Ameomba msamaha kila mara ninapomfumania, lakini bado anarudia tabia hiyo. Kesi zetu zimekuwa nyingi kwa wazazi na nadhani wamechoka kutusuluhisha.
2. Ulevi uliopitiliza: Mume wangu ni mlevi sana. Kurudi nyumbani asubuhi ni jambo la kawaida kwake. Nimeshazungumza naye na kumweleza jinsi ninavyojisikia kuhusu tabia yake ya kunywa kupindukia, ingawa anahudumia familia vizuri. Lakini, hupati muda na familia kabisa. Inanidhalilisha sana kwa sababu tunakaa na mdogo wake nyumbani, hivyo najihisi vibaya sana anaporudi asubuhi.
Ndoa yetu imefungwa kanisani na tumekuwa tukiishi pamoja kwa miaka miwili tu. Nashauriwa nifanye nini kuhusu maamuzi yangu haya, maana sijisikii furaha kabisa katika ndoa hii. Na mimi ni mchanga sana kuishi kama hivi hadi kifo kitutenganishe.
Hamna Tabia mpya apo ya kuvunja Ndoa....Sema na ww umeshachepuka umepata show kali unatafuta sababu.Natamani kuvunja ndoa yangu.
Habari zenu wakuu, natumai mko poa. Nimekuja na nia ya dhati kutafuta ushauri kuhusu jambo langu ambalo linanitatiza.
Mimi ni msichana mwenye umri chini ya miaka 30. Nina mtoto mmoja wa kiume. Nimekuwa katika ndoa na mume wangu kwa takriban miaka miwili sasa.
Sababu za maamuzi yangu ni kama ifuatavyo:
1. Uchepukaji uliokithiri: Huyu mume wangu amekuwa akinihadaa sana. Sijawahi kuona kitu kilichoniumiza zaidi ya kugundua kuwa anatoka na wanawake wengine. Ameomba msamaha kila mara ninapomfumania, lakini bado anarudia tabia hiyo. Kesi zetu zimekuwa nyingi kwa wazazi na nadhani wamechoka kutusuluhisha.
2. Ulevi uliopitiliza: Mume wangu ni mlevi sana. Kurudi nyumbani asubuhi ni jambo la kawaida kwake. Nimeshazungumza naye na kumweleza jinsi ninavyojisikia kuhusu tabia yake ya kunywa kupindukia, ingawa anahudumia familia vizuri. Lakini, hupati muda na familia kabisa. Inanidhalilisha sana kwa sababu tunakaa na mdogo wake nyumbani, hivyo najihisi vibaya sana anaporudi asubuhi.
Ndoa yetu imefungwa kanisani na tumekuwa tukiishi pamoja kwa miaka miwili tu. Nashauriwa nifanye nini kuhusu maamuzi yangu haya, maana sijisikii furaha kabisa katika ndoa hii. Na mimi ni mchanga sana kuishi kama hivi hadi kifo kitutenganishe.
Akileta liugonjwa home itakuajeUkisha achana nae akipata atakae mueka sawa itakuaje?
Wewe bado mdogo jaribu kumuelewesha vizuri, kama familia anahudumia vizuri hakuna shida.
Nenda kanisani kwa padre aliewafungisha ndoa muelezee yanayokusibu nadhani ataitwa na wazee wa kanisa tu.
Akishindwa na hapo achana nae tunawahitaji single mother mtaani sana tu.
Nenda ktk vikundi vya maombi. Wewe mwenyewe muombee sana kwa Mungu atabadilika.Shida ni kua Habadiliki kaka angu , Nimejaribu Part yangu ila ndo ivyo
Umejipata ndio unataka kuvunja ndoa si ndio?Natamani kuvunja ndoa yangu.
Habari zenu wakuu, natumai mko poa. Nimekuja na nia ya dhati kutafuta ushauri kuhusu jambo langu ambalo linanitatiza.
Mimi ni msichana mwenye umri chini ya miaka 30. Nina mtoto mmoja wa kiume. Nimekuwa katika ndoa na mume wangu kwa takriban miaka miwili sasa.
Sababu za maamuzi yangu ni kama ifuatavyo:
1. Uchepukaji uliokithiri: Huyu mume wangu amekuwa akinihadaa sana. Sijawahi kuona kitu kilichoniumiza zaidi ya kugundua kuwa anatoka na wanawake wengine. Ameomba msamaha kila mara ninapomfumania, lakini bado anarudia tabia hiyo. Kesi zetu zimekuwa nyingi kwa wazazi na nadhani wamechoka kutusuluhisha.
2. Ulevi uliopitiliza: Mume wangu ni mlevi sana. Kurudi nyumbani asubuhi ni jambo la kawaida kwake. Nimeshazungumza naye na kumweleza jinsi ninavyojisikia kuhusu tabia yake ya kunywa kupindukia, ingawa anahudumia familia vizuri. Lakini, hupati muda na familia kabisa. Inanidhalilisha sana kwa sababu tunakaa na mdogo wake nyumbani, hivyo najihisi vibaya sana anaporudi asubuhi.
Ndoa yetu imefungwa kanisani na tumekuwa tukiishi pamoja kwa miaka miwili tu. Nashauriwa nifanye nini kuhusu maamuzi yangu haya, maana sijisikii furaha kabisa katika ndoa hii. Na mimi ni mchanga sana kuishi kama hivi hadi kifo kitutenganishe.
Kumuacha mume kwa sababu hizo ni sawa na kukimbia mvua ama jua utakapokanyaga tena imoHamna Tabia mpya apo ya kuvunja Ndoa....Sema na ww umeshachepuka umepata show kali unatafuta sababu.
Utabadili wanaume wangapi kisa kuchepuka alafu unataka umuachie nani huyo.
Komaa
Mwanaume mwenye akili timamu usikubali vikao vya kinachoitwa usuluhishi wa ndoa,pambana kusuluhisha ndani yaa wawili tu,msipoelewana kila mtu aende upande wake.Muache uone kama wanaume wengine tuko kama unavyodhania. Mwanaume au mwanamke anakuwa mbaya akiwa kwako ila kwa wenzio sio mbaya.
Tatizo ni umri sio kwamba hakupendi kaeni ongeeni tofauti zenu mpeleke kwa wazazi au kanisani apewe nasaha za namna ya kuishi na familia.
Kucheat atakucheat tu ila awe na nidhamu. Kinachokukera wewe ni yeye kukosa nidhamu ya nyumbani.