Baada ya matokeo ya Uchaguzi, kipi kuwa Chama kikuu cha upinzani?

Walibadirisha standing orders zao na kuita 'minority'. Labda itakuwa nani kuwa kiongozi wa hiyo minority, ingawaje sifukuatilia kwa kina itakuwaje kuwaje hasa.
 
Igizo la uchaguzi sasa limefika tamati. Ngoja tuone yatakayojiri.

Tunategemea kuona Tanzania mpya chini ya magufuli na genge lake la uchaguzi bandia.
Unajue sie ambaye tumeacha kupiga kura toka zamani tuliwashanga sana mlivyokuwa mnampamba Tundu Lissu na mkajipa matumaini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…