aduda
Senior Member
- Jun 14, 2014
- 169
- 186
nimekupata sante kwa uzalendo, mana pia ungeweza kutumia taaluma na ujuzi wako kutupotosha kama wafanyavyo hawa mafa.la wa ufipa wanatumia kigezo cha elimu zao za gpa za 32 kutupotosha hapaNgoja niwape watu darasa hapa kidogo kihusu LNG maana naona watu kama wanachuki na serikali wao wanakosoa tu. LNG ya TZ inategemewa kuwa kubwa kuliko ile ya mozambique. Kampuni ambazo zinategemea kujenga hiyo LNG ni pavilion, shell, exxon mobil, statoil na TPDC. makadirio ya gharama ni 30b usd. Kuna baadhi ya mambo ambayo tayari ya shafanyika au yanaendelea kufanyika. Mfano pre FEED- FRONT END ENGINEERING DESIGN ( kabla- pembuzi yakinifu) HGA- HOST GOVERNMENTAL AGREEMENT, site ishapatikana, pia serikali kupitia TPDC wametangaza tenda ya kuomba wataalam ili waje kuisadia serikali kwenye negotiation ya hii project na kupeleka baadhi ya officials wake nje kusomea negotiation ya LNG. serikali inafanya yote haya ili kukwepa makubaliano mabovu kama yaliofanyika nyuma. Hizo kampuni nilizotaja hapo juu pia kuna mambo ambayo zenyew kwa zenyewe pia inabidi zikubaliane lakini bado mpaka leo.
Sasa msikae hapa kupiga kelele kwa vitu msivovijua. Hii serikali ya JPM is the best ever in AFRICA. Sasa uwekezaji wa $30b mnataka ufanyike overnight?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app