Mgambilwa ni mntu
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 2,869
- 3,188
Ndoto za Tanzania kupata Kiwanda cha Kuchakata Gesi (Liquefied Natural Gas) zinaweza kuchukua muda mrefu tofauti na matarajio ya hapo awali, kufuatia TPDC na Kampuni za Gesi kushindwa kukubaliana juu ya masharti yanayolinda mkataba katika Mpango kazi wa Makubaliano ya Kibiashara (CFA).
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TPDC, Kapuulya Musomba, alisema kuwa, mchakato huo ulioanza mwaka uliopita bado haujafikia mwisho kutokana na kutokubaliana kati ya Serikali vs ya Kampuni za Gesi kwenye modality ya nani atafanya nini? Musomba alieleza kuwa, kwa sasa wanaangalia chanzo cha kutokubaliana kabla ya kuanza majadiliano upya.
Tanzania ina reserve ya gesi ipatayo trillion 57 cf. Baada ya Kiwanda cha LNG kukamilika, Tanzania inatarajiwa kuwa inapata mapato yatokanayo na mauzo ya gesi ya kiasi cha trilioni 5 kwa mwaka.
Kutokana na matumizi ya gesi inayopakiwa hapa nchini kati ya 2015 - 2017, imepelekea kuokoa zaidi ya 8,000,000,000,000 (trilioni 8).