Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 21,838
- 38,729
Usihamishe magoli Gamba,nipe maziwa yako niyanyonyeUlivyonya ya baba yako wakambo si unaona athari ulizopata kamanda!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Usihamishe magoli Gamba,nipe maziwa yako niyanyonyeUlivyonya ya baba yako wakambo si unaona athari ulizopata kamanda!?
Dr LovenessUlivyonya ya baba yako wakambo si unaona athari ulizopata kamanda!?
Katubu kwa baba yako mzazi kamanda. Ulichofanya ni laana ambayo inakutafuna kila uchwao.
Asante Mpiga Sound. Next time utafikiriwa walau U-DC.Ngoja niwape watu darasa hapa kidogo kihusu LNG maana naona watu kama wanachuki na serikali wao wanakosoa tu. LNG ya TZ inategemewa kuwa kubwa kuliko ile ya mozambique. Kampuni ambazo zinategemea kujenga hiyo LNG ni pavilion, shell, exxon mobil, statoil na TPDC. makadirio ya gharama ni 30b usd. Kuna baadhi ya mambo ambayo tayari ya shafanyika au yanaendelea kufanyika. Mfano pre FEED- FRONT END ENGINEERING DESIGN ( kabla- pembuzi yakinifu) HGA- HOST GOVERNMENTAL AGREEMENT, site ishapatikana, pia serikali kupitia TPDC wametangaza tenda ya kuomba wataalam ili waje kuisadia serikali kwenye negotiation ya hii project na kupeleka baadhi ya officials wake nje kusomea negotiation ya LNG. serikali inafanya yote haya ili kukwepa makubaliano mabovu kama yaliofanyika nyuma. Hizo kampuni nilizotaja hapo juu pia kuna mambo ambayo zenyew kwa zenyewe pia inabidi zikubaliane lakini bado mpaka leo.
Sasa msikae hapa kupiga kelele kwa vitu msivovijua. Hii serikali ya JPM is the best ever in AFRICA. Sasa uwekezaji wa $30b mnataka ufanyike overnight?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakusikiliza Mama Wanjiru.
Kumbe unatafunwa sioKatubu kwa baba yako mzazi kamanda. Ulichofanya ni laana ambayo inakutafuna kila uchwao.
Nenda kamtengee Chakubanga maji ya kuogaNakusikiliza Mama Wanjiru.
Watu wenye akili na maumbile kama yako hukimbilia huko. Pole sana kwa kuathirika kisaikolojia. Tiba zipo...haujachelewa.
Ila hatuna ujanja tutakubali tuu hata kwa kampuni ingine kwa hasara kwa mfano wakisema watuachie sisi tutaifanya niniNi habari njema kwa mama Tanzania na Watanzania kwa ujumla. Tanzania kwanza UCHOCHEZI mwiko.
You are right.Tanzania kwa sasa hakuna utawala unaoheshimu sheria hivyo hakuna mwekezaji mkubwa wa kuwekeza kwenye LNG. Labda wawekezaji wa viwanda vya cherehani nne, juice na maji. Hao mtawapata sana
Wenye kuinvest wenyewe wanakiri kuwa wanakuibia wewe unapinga kwa faida ya nani hasa . Basi resource zikae mpaka wenye akili wazaliweUnaweza ukawa sahihi zaidi. Kujenga LNG Plant moja ni kama $30b, sasa mtu hawezi wekeza kwenye nchi ambayo mnaweza fanya amendment ya sheria zinazohusu mikataba bila kuhusisha wadau. Mtu anaona anakuwa insecure na investment anayotaka kuiweka. Make kama nchi huwezi kujenga hiyo plant, ni investors tu wanaoweza kufanya hilo. Tapping a gas offshore is a big project, make yale sio maji ya kisima, needs an investment from all displines like: geology,engineering, environments etc. Sasa mtu anaamka na kusema tunaibiwa and the next morning sheria zimebadilishwa, nani anaweza weka hela yake hapo. Lets wait.
We wa wapi huyo mtu anakurupuka kwa ajili yake? TUJIONEE HURUMA . HIYO MIKATABA SI NI KWELI ILIKUWA YA KINYONYAJI? SASA KUKURUPUKA IKO WAPI? SEMATu walioafiki na hiyo mikataba hawakufanya utafiti wa kutosha. NDIO MAANA HATAA HAYO MAKAMPUNI WANAKUBALIANA KUBADILIKA ILI HAKI IENDEKE. HAKUNA ASIEKOSEA NA AKIJIGUNDUA ANAJIREKEBISHA. Ndio maana nao wanakubali pia pamoja kua walikuwa wanelewa ila KWA KUWA NI FAIDA KWAO WAKANYAMZAUnaweza ukawa sahihi zaidi. Kujenga LNG Plant moja ni kama $30b, sasa mtu hawezi wekeza kwenye nchi ambayo mnaweza fanya amendment ya sheria zinazohusu mikataba bila kuhusisha wadau. Mtu anaona anakuwa insecure na investment anayotaka kuiweka. Make kama nchi huwezi kujenga hiyo plant, ni investors tu wanaoweza kufanya hilo. Tapping a gas offshore is a big project, make yale sio maji ya kisima, needs an investment from all displines like: geology,engineering, environments etc. Sasa mtu anaamka na kusema tunaibiwa and the next morning sheria zimebadilishwa, nani anaweza weka hela yake hapo. Lets wait.
Nazungumzia zile mlizopitisha bungeni na kisha kuweka marufuku mtu yoyote kuziona.Kuheshimu sheria zipi kamanda?
Zile tulizokuwa tukiwatangazia wananchi miaka yote kuwa ni mbovu? au kuna zingine?
Yule mjita alikua jiwe Na alisema kweli jiwe litabaki kua jiwe Na ataliita jiweProfesa Muhongo alisema wazawa wana hela ya kuuza juice tu siyo kuwekeza kwenye vitalu vya gesi na mafuta.
Kamanda vipi?Nazungumzia zile mlizopitisha bungeni na kisha kuweka marufuku mtu yoyote kuziona.
Umesahau umlivyowapa Barick/Accasia migodi kwa sheria mlizotunga wenyewe kisha mkawageuka na kusema ni wezi wanawaibia wakati mliwapa wenyewe migodi?Kamanda vipi?
Sasa unajuaje hawaziheshimu wakati hata wewe mwananchi hujaziona?
Hili ndio jibu la msingi, na pia ndio sababu tusitegemee kupata mwekezaji yeyote mkubwa nchi hii mpaka kipindi chake kitakapoisha..Unaweza ukawa sahihi zaidi. Kujenga LNG Plant moja ni kama $30b, sasa mtu hawezi wekeza kwenye nchi ambayo mnaweza fanya amendment ya sheria zinazohusu mikataba bila kuhusisha wadau. Mtu anaona anakuwa insecure na investment anayotaka kuiweka. Make kama nchi huwezi kujenga hiyo plant, ni investors tu wanaoweza kufanya hilo. Tapping a gas offshore is a big project, make yale sio maji ya kisima, needs an investment from all displines like: geology,engineering, environments etc. Sasa mtu anaamka na kusema tunaibiwa and the next morning sheria zimebadilishwa, nani anaweza weka hela yake hapo. Lets wait.
Ila kweli kamanda TUNGEWAACHA tu waendelee kutuibia ili watusifie kuwa TUNAHESHIMU SHERIA.Umesahau umlivyowapa Barick/Accasia migodi kwa sheria mlizotunga wenyewe kisha mkawageuka na kusema ni wezi wanawaibia wakati mliwapa wenyewe migodi?