Baada ya mahojiano, Gwajima aachiwa kwa dhamana

Baada ya mahojiano, Gwajima aachiwa kwa dhamana

Usiwe na hasira. let us discuss the issue. Hapa polisi/jamhuri wanaweza kushitaki kwa abusive language in the public sawa na kupigana kwenye public. G WAJIMA ALITUKANA/ABUSIVE LANGUAGE IN THE PUBLIC hivyo kisheria wana haki kufanya hivyo. Kama mtu ni adui yako anakuwa amekupata!

Ila kama ulivyosema, hivi ni vitu vidogo kuvishupalia kama wanavyofanya polisi. They can drop the case for the benefit of harmony of the parties- in good faith!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

CHUAKACHARA, that is my point. In the end siku zote ni wanasheria wanawatia aibu police. Maana unajua police watakwama wapi? Kwenye tafsiri ya MATUSI. Hata Pengo atakwama hapohapo. Itaishia kuwa debate kubwa lakini ninavyojua mimi hii kitu ni kupotezeana muda. Police wanapaswa kuweka maslahi ya taifa mbele kuliko swagga zao za kupotezeana muda
 
Hahahaha furaha ilioje kwa wana wa ufufuo polen wenye chuki zenu maana kwenu halijatimia
 
habari zilizonifikia punde ni kwamba askofu gwajima kahamishiwa osterbay.mkiikuwa eneo la tukio mtujuze tafadhali
===========================

hakuna upouuzi kama huu kwenye hii issue

mhusika kakiri ajawahi na ahusiki kumshtaki

police wakiwa wanataka kumhoji wakaomba wamsubiri mh kova kwa kuwa wao awajui nani kamshataki

hiyo dhamana si ufirauni ni ninii ..je kafikishwa mahakamani?

Hii ni aibu kwa wale wanaojua sheria

mungu awasamehe
 
Gwajima is the "talk of the town" for these month.
 
Hakuna kesi hapa bali ni polisi kutaka kumbambikia mtu kesi. Aliyetukanwa hakufungua kesi hivyo hakuna kesi.
Ametukana hadharani kwahiyo anashitakiwa na jamhuri. Sio lazima kesi afungue pengo. Hata muumini tu mkatoriki akiamua kumfungulia kesi ya kudharilishiwa kiongozi wake bado Gwajima anakesi. Iweje useme hana kesi?
 
Polisi wa TZ hawajawahi kushinda kesi yeyote kubwa. Police wa TZ wamejaa hasira na visasi na hawajui hata kidogo kupanga mikakati.

Mikakati yao imekuwa ni ya kitoto na siku zote inawatia aibu;

1. Jiulize lengo la vulumai zote hizi - mwisho wake ni nini??
2. Wakati kila mkubwa akijidai hausiki kwenye sakata hili - Police wanasema wanataka kuhakikisha jinai haikutendeka. Lakini hasa mlalamikaji kwenye hii kesi ni nani???

Kesi ya jinai alamikaji ni jamhuri!
 
habari zilizonifikia punde ni kwamba askofu gwajima kahamishiwa osterbay.mkiikuwa eneo la tukio mtujuze tafadhali
===========================

Kweli walitaka kumkolimba au kumpengo, yaani aliyeshtushwa na maswali ameparalyze! Si kitu,
marko 16:18... Hata wakinywa kitu cha kufisha hakitwadhuru kabisa, wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya.
 
Si huwa anaombea vilema wakatembea?imekuaje leo yeye anatembelea wheelchair kama kilema?

Mungu ameacha hivo kwa muda ili watu wenye akili wajue Kuna kitu kilifanyika. Unayoyasema ni sawasawa na wale waliomwambia yesu msalabani, "ameokoa wengine, kwa nini asijiokoe mwenyewe?
 
He belongs to all of them...... and you?? I see you to 'empty minds discuss nothing'. isn't it.

One can't have a great mind, and at the same time a poor one... See! its a waste of time talking to you, you can't even figure such a simple thing out. I doubt which category you belong to.
 
Gwajima ana haki ku kemea lolote linaloonekana kwenda kinyume na maadili ya kiroho kutokana na nafasi alokuwa nayo ,alikemea akiwa Ibadani
sio kariakoo sokoni.
ni kama Mbunge bungeni ana kinga ya matamshi yake.
 
Pengo si ameshamsamehe? Sasa huyo gwajima wa nn tena huko oysterbay?
 
Back
Top Bottom