habari zilizonifikia punde ni kwamba askofu gwajima kahamishiwa osterbay.mkiikuwa eneo la tukio mtujuze tafadhali
===========================
===========================
-Gwajima ndio anapelekwa oysterbay polisi kwa ajili ya mahojiano, inasemekana hawezi kutembea vizuri!
-Ulinzi ni wakutosha.
UPDATES
-Baada ya Mahojiano kaachiwa kwa dhamana.
![]()
![]()