Inside10
Platinum Member
- May 20, 2011
- 34,776
- 42,931
GWAJIMA AKIWA POLICE
YAFUATAYO YALIJILI JUU
YAKE!!!
POLICE-MPELELEZI: Hebu
Soma Biblia Kitabu Cha TITO
3:2. GWAJIMA:"Kwa Ujasiri"
'WASIMTUKANE MTU
YEYOTE,WASIWE
WAGOMVI,WAWE
WEMA,WAKIONYESHA UPOLE
WOTE KWA WATU WOTE.
POLICE-MPELELEZI: Je Wakati
Unapohubiri Huwa Unatumia
Biblia Au Kuna Kitabu
Kingine?
GWAJIMA: Biblia.
POLICE-MPELELEZI: Soma
YAKOBO 4:11.
GWAJIMA: Ndugu,msisingiz
iane,amsingiziaye Ndugu
Yake Au KUMHUKUMU Ndugu
Yake,huisingizia SHERIA Na
Kuihukumu SHERIA. Lakini
Ukiihukumu Sheria Huwi
Mtenda Sheria Bali Umekuwa
HAKIMU. POLICE-MPELELEZI:
Endelea Mstari Wa 12.
GWAJIMA: Mtoa Sheria Na
Mwenye Kuhukumu Ni
Mmoja Tu, Ndiye Awezaye
Kuokoa Na Kuangamiza, U
NANI WEWE UMHUKUMUYE
MTU MWINGINE?
POLICE-MPELELEZI:
Umeelewa Maana Ya Maneno
Ya Vitabu Ulivyovisoma?Am
bavyo Unatakiwa Kuvifuata
Na Kuvifundisha?
GWAJIMA: Jamani sioni nguvu
zinaniisha jaman,
POLICE-MPELELEZI: NAKUPA
DAKIKA MOJA UKEMEE
HALAFU TUENDELEE NA
MASWALI HADI TUIMALIZE
BIBLIA, GHAFLA Gwajima
"CHALI" .... Itaendelea
Akizinduka.
YAFUATAYO YALIJILI JUU
YAKE!!!
POLICE-MPELELEZI: Hebu
Soma Biblia Kitabu Cha TITO
3:2. GWAJIMA:"Kwa Ujasiri"
'WASIMTUKANE MTU
YEYOTE,WASIWE
WAGOMVI,WAWE
WEMA,WAKIONYESHA UPOLE
WOTE KWA WATU WOTE.
POLICE-MPELELEZI: Je Wakati
Unapohubiri Huwa Unatumia
Biblia Au Kuna Kitabu
Kingine?
GWAJIMA: Biblia.
POLICE-MPELELEZI: Soma
YAKOBO 4:11.
GWAJIMA: Ndugu,msisingiz
iane,amsingiziaye Ndugu
Yake Au KUMHUKUMU Ndugu
Yake,huisingizia SHERIA Na
Kuihukumu SHERIA. Lakini
Ukiihukumu Sheria Huwi
Mtenda Sheria Bali Umekuwa
HAKIMU. POLICE-MPELELEZI:
Endelea Mstari Wa 12.
GWAJIMA: Mtoa Sheria Na
Mwenye Kuhukumu Ni
Mmoja Tu, Ndiye Awezaye
Kuokoa Na Kuangamiza, U
NANI WEWE UMHUKUMUYE
MTU MWINGINE?
POLICE-MPELELEZI:
Umeelewa Maana Ya Maneno
Ya Vitabu Ulivyovisoma?Am
bavyo Unatakiwa Kuvifuata
Na Kuvifundisha?
GWAJIMA: Jamani sioni nguvu
zinaniisha jaman,
POLICE-MPELELEZI: NAKUPA
DAKIKA MOJA UKEMEE
HALAFU TUENDELEE NA
MASWALI HADI TUIMALIZE
BIBLIA, GHAFLA Gwajima
"CHALI" .... Itaendelea
Akizinduka.