Baada ya mahojiano, Gwajima aachiwa kwa dhamana

Hakuna kesi hapa bali ni polisi kutaka kumbambikia mtu kesi. Aliyetukanwa hakufungua kesi hivyo hakuna kesi.
 
Anaweza kufunguliwa kesi na jamhuri, kutukana hadharani ni jinai, si lazima aliyetukanwa ndiye ashitaki. Kituko ninachikiona ni pale Kova aliposema bastola ya Gwajima haikuwa na umiliki halali, lakini baadaye akaibuka kuwa baada ya uchunguzi makini wamegundua kuwa inamilikiwa kihalali. Kwanini Kova alitoa tamko kabla ya huo uchunguzi anaoita makini?

Ninachikiona kwenye hili sakata, pamoja na kwamba Gwajima alitenda kosa, kuna element ya kumkomoa. Unakumbuka 2012 Kova alivyoitisha vyombo vya habari na kudai eti mtekaji wa Dr Ulimboka mkenya Joshua Mulundi amejisalimisha na kutubu kwa Gwajima, na Gwajima kupinga uongo huo kwa nguvu? Inawezekana Gwajima na serikali walishindana kwenye dau, hivyo wana kisasi naye.
 
mbona bungeni kule kilasiku wabunge wanatukanana kwanini hawawakamati? teh teh teh this is tanzania bwanaa!
 
Polisi huwa hawafungi mtu mahakama ndio inafunga.Kesi bado mbichi.Si umeambiwa kaachiwa kwa dhamana.Ina maana kesi bado ipo.Mahakama inamsubiri vuta subira kesi ianze kuunguruma.Hajaachiwa huru bado kaachiwa kwa dhamana asije akawalaghai huko kwenye mikutano na misukule.

Hahahah umemaliza kila kitu mkuu!!!!!!!!!!!!
 
Matusi yanatukanwa bandarini, tena hadharani kama mnatafuta watukanaji nendeni huko, Gwajima kakemea

Kazi ipo kwani kwa matamshi haya na kujiamini kote huku nachojua ukichukuliwa kuhojiwa tena na coplo wa polisi unazimia!! au ni mwendo wa sanaa sanaaa ili mfahamike?>?
 
Unakumbuka matusi aliyotukanwa Warioba na wana UKAWA wengine ndani na nje Bunge la katiba!? Jamhuri haikuyasikia matusi yale!? Mbona haikumfungulia mashtaka yeyote yule!? Wanataka kutisha watu wanaopinga katiba yao hawa wahuni.

Anaweza kufunguliwa kesi na jamhuri, kutukana hadharani ni jinai, si lazima aliyetukanwa ndiye ashitaki. Kituko ninachikiona ni pale Kova aliposema bastola ya Gwajima haikuwa na umiliki halali, lakini baadaye akaibuka kuwa baada ya uchunguzi makini wamegundua kuwa inamilikiwa kihalali. Kwanini Kova alitoa tamko kabla ya huo uchunguzi anaoita makini?

Ninachikiona kwenye hili sakata, pamoja na kwamba Gwajima alitenda kosa, kuna element ya kumkomoa. Unakumbuka 2012 Kova alivyoitisha vyombo vya habari na kudai eti mtekaji wa Dr Ulimboka mkenya Joshua Mulundi amejisalimisha na kutubu kwa Gwajima, na Gwajima kupinga uongo huo kwa nguvu? Inawezekana Gwajima na serikali walishindana kwenye dau, hivyo wana kisasi naye.
 
Chuakachara, hujaeleza jamhuri inalalamika nini? Hujasema jamhuri imeathirikaje na matamshi au vitamkwa?? Hujasema jamhuri inalinda nini na kama inalinda ni kwa maslahi ya nani?? Isipolinda, nini kitakachotokea!
Kuna mambo mengi ambayo jamhuri inapaswa ijuwe kwamba ni upotezaji wa muda na resources!
Ndio maana serikali inapoteza kila kesi mahakamani - sababu sio kwamba hakukuwepo na tukio, la hasha! Bali sheria ni uthibitisho kwamba sheria ni science na pia ni Art. Tusipotezeane muda wa kupandishana mizuka kwa mambo ya kipuuzi ya polisi wetu!

Usiwe na hasira. let us discuss the issue. Hapa polisi/jamhuri wanaweza kushitaki kwa abusive language in the public sawa na kupigana kwenye public. G WAJIMA ALITUKANA/ABUSIVE LANGUAGE IN THE PUBLIC hivyo kisheria wana haki kufanya hivyo. Kama mtu ni adui yako anakuwa amekupata!

Ila kama ulivyosema, hivi ni vitu vidogo kuvishupalia kama wanavyofanya polisi. They can drop the case for the benefit of harmony of the parties- in good faith!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
mbona bungeni kule kilasiku wabunge wanatukanana kwanini hawawakamati? teh teh teh this is tanzania bwanaa!

Kwa ninavyojua,bungeni kuna baadhi ya maneno unaweza sema bila kushtakiwa kisheria.Lakini ndani ya bunge na sio nje...ndio maana unaona wabunge wanajiachia tu!..
 
Polisi wa TZ hawajawahi kushinda kesi yeyote kubwa. Police wa TZ wamejaa hasira na visasi na hawajui hata kidogo kupanga mikakati.

Mikakati yao imekuwa ni ya kitoto na siku zote inawatia aibu;

1. Jiulize lengo la vulumai zote hizi - mwisho wake ni nini??
2. Wakati kila mkubwa akijidai hausiki kwenye sakata hili - Police wanasema wanataka kuhakikisha jinai haikutendeka. Lakini hasa mlalamikaji kwenye hii kesi ni nani???

Mlalamikaji no Aboubakar
 
Bado anahitaji kutibiwa zaidi atatoka wakati wake ukifika
 
Anaweza kufunguliwa kesi na jamhuri, kutukana hadharani ni jinai, si lazima aliyetukanwa ndiye ashitaki. Kituko ninachikiona ni pale Kova aliposema bastola ya Gwajima haikuwa na umiliki halali, lakini baadaye akaibuka kuwa baada ya uchunguzi makini wamegundua kuwa inamilikiwa kihalali. Kwanini Kova alitoa tamko kabla ya huo uchunguzi anaoita makini?

Ninachikiona kwenye hili sakata, pamoja na kwamba Gwajima alitenda kosa, kuna element ya kumkomoa. Unakumbuka 2012 Kova alivyoitisha vyombo vya habari na kudai eti mtekaji wa Dr Ulimboka mkenya Joshua Mulundi amejisalimisha na kutubu kwa Gwajima, na Gwajima kupinga uongo huo kwa nguvu? Inawezekana Gwajima na serikali walishindana kwenye dau, hivyo wana kisasi naye.

Huyo mzee sijui anatumia nini anapotoa matamko yake kwa waandishi me huwa simuamini hata kidogo
 
Usiwe na hasira. let us discuss the issue. Hapa polisi/jamhuri wanaweza kushitaki kwa abusive language in the public sawa na kupigana kwenye public. G WAJIMA ALITUKANA/ABUSIVE LANGUAGE IN THE PUBLIC hivyo kisheria wana haki kufanya hivyo. Kama mtu ni adui yako anakuwa amekupata!

Ila kama ulivyosema, hivi ni vitu vidogo kuvishupalia kama wanavyofanya polisi. They can drop the case for the benefit of harmony of the parties- in good faith!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Hahahah!...huyo jamaa hajui kama hata tusi la kawaida sana kisheria ni kosa!..last tym I checked faini inaanza elfu 50 hivi.
Tatizo watu wengine matusi imekua viunganishi vyao siku hizi,so wanahisi wana haki tu.Nafikiri tunahitaji watu wa jukwaa la sheria kwa msaada.Watu hawajui kama jamuhuri inaweza kukushtaki!.
 
Askari wetu hawana wapoteza maadili ya kazi, nguvu nyingi kuahangaika na Gwajima anyejihubiria apate sadaka yake na oponye wagoanjwa wake, wanaach kupambana namajambazi wanaochinja na kunyang'ganya sila kila kukicha. Tafuteni majambazi acheni wapigiga debe wa kidini.
 
Back
Top Bottom