Sasa wanamuhoji nini si wampeleke mahakani, kwani wakimuhoji atageuka kuwa shahidi upande wa mashtaka?!
Ndio maana tunaomba ajitokeze polisi popote kwa cheo chocho mwenye ufaulu O level kwa division One.
Mleta uzi kuna vitu ameshapigia mda huu siyo kosa lake kuleta uzi usioeleweka!
Hii sio civil case, jamhuri ndio mlalamikaji. Sheria ya jinai iko hivyo haina utata! Hii sio kesi ya uchaguzi for example, ambapo mlalamikaji lazima awe ameguswa haki zake directly! Tafuta Kesi ya Lema ya ubunge wa Arusha, itakupa mwanga nani ana haki ya kulalamika. Utaona tofauti na kesi za madai
Kumbe huwa kuna kukemea kwa kutumia matusi pia. Tena katika hadhara iliyo na watoto pia!
Matusi yanatukanwa bandarini, tena hadharani kama mnatafuta watukanaji nendeni huko, Gwajima kakemea
ukweli tuseme na uongo pembeni, polisi wetu wako wengi tu wasomi,wanasheria haswa, acheni chukishule nayo muhimu, elimu yetu ilivyo hovyo halafu polisi wanabebwa form 4, kama sio form 4 basi elimu yakuunga unategemea nini, wewe jaribu siku polisi akitaka kukukamata alafu mwonyeshe umeanda darasani na unajua sheria uone jinsi avyorudi nyuma mita 20 na kuaga.
kwa kusema HAYA!!!!Matusi yanatukanwa bandarini, tena hadharani kama mnatafuta watukanaji nendeni huko, Gwajima kakemea
habari zilizonifikia punde ni kwamba askofu gwajima kahamishiwa osterbay.mkiikuwa eneo la tukio mtujuze tafadhali
===========================
Vile viwanja si mali ya Gwajima.Wanajamvi kama nilivyo wahaidi kuwa nikizipata updates nawafikishia muda huu wa saa nane alasiri Mch.Gwajima wa ufufo na uzima hatimaye yupo huru kwa sasa kitu ambacho kiliwashangaza wengi ni kwamba police walijaribu kubadilisha keshi na kuonekana kutaka kumbabikizia kesi mbali mbali na kumhoji uhalali wake wa kumiliki silaha,pesa na vitu vingi vikiwemo nyumba na magari jambo..ambalo limekuwa gumzo katika vyombo vya habari....pia chanzo kilitililika kusema kuwa ..upo mpango B yaani plan B ambayo police wameupanga ni kumpiga marufuku mch. GWAJIMA kuwa atoke pale na kuhamisha kanisa lake jambo ambalo wananchi wengi wanasubiri kama likitokea basi nao waamue cha kufanya ...............................nitawajuza kinacho endelea.......au kama kuna mtu ana updates tupeni.....wakuu
Mpaka wanajaza server ya jf Kutwa Gwajima gwajima
ukweli tuseme na uongo pembeni, polisi wetu wako wengi tu wasomi,wanasheria haswa, acheni chuki
Oysterbay polisi? Nyumbani? Hotelini? Beach?
Oysterbay beach? Na mie leo natajiandikia kwa habari ambayo haijakamilika na kishangaa mnapoambiwa huwa amuulizi maswali mtuletee na majibu au mnasikilizia wapi? Ni vizuri mkaelezaga y mliposikia hamkupata habari zaidi.