Baada ya mahojiano, Gwajima aachiwa kwa dhamana

Baada ya mahojiano, Gwajima aachiwa kwa dhamana

habari nilizozipata hivi punde ni kuwa mchungaji na askofu wa kanisa la ufufuo na uzima pastor josephat gwajima ameachiwa huru na jeshi la polisi more to come stay tuned
..walijaribu kutumia issue ya mchungaji gwajima kutaka kutugawa sisi wakristo.....hata kwa damu yetu hakuna isis hapa.kwa jina la yesu kristo tutashinda na mwenye nia mbaya na kanisa la tanzania na alaaniwe.sema amin.
 
Ni jambo jema, Nahisi kuna kitu amejifunza kupitia misukosuko hii.

Hii nchi wote tukiamua kupaniki kama Gwajima haitatawalika, namsihi atumie maneno ya staha kuwasahihisha wenzie.

Kiswahili kinamisamiati mingi tu ya kistaarabu ni vema akajifunza.
 
Serikali ya CCM wadini sana,mbona hawamwachii shehe Ponda? Hapa waislamu lazima wakinukishe tu!
 
Wamemwachia! Kwani Walimkamataa? Au Yeye Ndio Alijipeleka! Na Kama Alijepeleka Kipi Kiswahili Sahihi. Gwajima Ameachiwa Au Ye Kawaacha Maaskar!
 
Weweeeeee, nakuhakikishia hakuna kesi hapo! Kuna hisia na mihemko tuu. Hajafungwa Mtikila miaka yote hiii?????
Hii kitu ishatoka hii mkuu, tumebaki mimi na wewe mtandaoni kufanya mazungumzo baada ya habari!

Mtikila alishawahi kumsikia akimtukana Pengo? Jiulize kama hajawahi Gwajima huo ujasiri kautoa wapi.Kuna watu nchi hii hawatukaniki shauri yenu na umisukule wenu.
 
Serikali ya CCM wadini sana,mbona hawamwachii shehe Ponda? Hapa waislamu lazima wakinukishe tu!

Ndugu! Ponda hapa anaingiaje kwenye issue ya Pengo na Gwajima? Hawa wote ninavyofahamu mimi ni wakristo, sasa napata tabu sana uhusiano wa hili jambo unakujaje ndugu Yangu!

Endelea
 
habari zilizonifikia punde ni kwamba askofu gwajima kahamishiwa osterbay.mkiikuwa eneo la tukio mtujuze tafadhali
===========================
Hili zinzi(i) mbona linatukuzwa sana?
 
shetani anaweza kupambana na mwili, yaani damu na nyama, kwa sababu ana limited authority juu yake.
Lakini mbele ya neno la mungu (upanga ukatao kuwili) anakunja mkia kama kijibwa kioga na makucha yake kuyarudisha ndani kama antenna inayotune fm au am radion station.
Neno la mungu ndiyo dawa pekee ya kupambana na nguvu ya mauti na kuzimu.

Shetani amelegea na kashindwa kama juice ya bamia
kwenye hili sakata la gwajima nani shetani?
 
Unataka kuokota kidude upigwe nao, naona unauliza maswali ya kishoga.

Unalazimisha nichezee njia yako ya msaada mkubwa?
Au nichezee tupu yako dada?
Sina tabia hizo.
 
Ki msingi jamaa amekoma, hatarudia tena, na ndio nia ya wakuu, ametia adabu, atukane misukule na mapepo maana ndio fani yake
 
Sasa naona atachunga mdomo wake.Atakuwa ameelewa ule usemi usemao ulimi kiungo kidogo lakini matatizo yake makubwa usipouchunga.Fikiria ulimi tu ndio umemfikisha hadi hapo anapotembelea wheel chair kama kiwete.Atukane mtu tena huyu atakuwa mwehu wallahi!!!!

Si mliwataka Polisi wamfunge, vp, wamekataa au Wameshindwa? Ulivyokuwa unabwabwaja utadhani we ndo Sheria, au Mahakama!
 
Back
Top Bottom