tetere
JF-Expert Member
- Dec 3, 2006
- 963
- 433
Shule nayo muhimu, elimu yetu ilivyo hovyo halafu polisi wanabebwa form 4, kama sio form 4 basi elimu yakuunga unategemea nini, wewe jaribu siku polisi akitaka kukukamata alafu mwonyeshe umeanda darasani na unajua sheria uone jinsi avyorudi nyuma mita 20 na kuaga.
Apologise lady, tatizo ni zaidi ya Usomi na Elimu - maana hata viongozi waliosoma- hawasaidii sana. Viongozi wenye dhamana ya Uongozi ama serikalini au kwenye jeshi la polisi pamoja na ndani ya taasisi nyingine nyeti - wamekuwa watu mbumbumbu,waoga, watu wa maigizo na akili mgando na utaahira wa daraja la juu!