Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 11,327
- 24,356
Hela naitafuta kwa shida sana kuna muda nalala na viatu nalala sehemu mbaya halafu kidogo nacho nduduliza wahuni hawakithamini.
Hela yangu haiwezi nitesa jana sijalala kabisa hadi muda wa kufika kwenda job ukafika.
Siwezi elezea sana lakini hii bank HAPANA HAPANA HAPANA.
Mods tusipangiane mahala pa kupeleka uzi. Uachwe hapahapa.