Baada ya Lowassa kuhama CCM hali ilivyo Monduli

Baada ya Lowassa kuhama CCM hali ilivyo Monduli

Nipo na project moja huku mundur kwa kwel...watu furaha kama kuna sikukuu hiv...kila mmoja wanafurah sana sana....
 
Siyo ball position ndgu ni ball possession, bt sorry!
Hebu kafie mbali huko na ushakunaku wako, kwani nimekuomba unirekebishe?
Niko kwenye furaha unataka kunitibua halafu mkipewa dawa zenu mnaanza kulia lia.
Kamsahihishe mkeo nyumbani kwako na hiyo samahani yako siitaki.
 
Sio ball position tu, na goal 7-0.
Teh teh raha sana kwakweli hii siku ya leo nitaiandika katika diary kwa wino mwekundu!
yan acha tu, watu wana press tu ze ball yan, yan ni one touch one touch tu...tap, tap, tap, mara ndukiiiiiiiiiiiiii..........wayaaaaaaaaaaaa!!!
 
yan acha tu, watu wana press tu ze ball yan, yan ni one touch one touch tu...tap, tap, tap, mara ndukiiiiiiiiiiiiii..........wayaaaaaaaaaaaa!!!
Hahahaaaaa halafu kipa ni Kikwete beki ni Magufuli!
 
mwanza ni furaha ilioje...leo kila sehemu uliyokuwa unapita ni LOWASSA TU...yaan ni nomaaaa...
 
Nawaambia kala kona nifah tuletee mwana ukawa mwenzetu plz
Ujue nimeshangaa kila nikimmention kama mara mbili hivi naona mauza uza, subiri nitakuita kwenye huo uzi niliochat nae.
 
Last edited by a moderator:
Ujue nimeshangaa kila nikimmention kama mara mbili hivi naona mauza uza, subiri nitakuita kwenye huo uzi niliochat nae.

Ndo nakuambia kabadili jina hebu mcheki uniambie
 
Yaan hapa kwetu ni furaha tupu na tupo kama watu 50 hiv tunapanga tuamke saa 9 tukawah namba ya BVR maana tuna usongo wa kumuondoa mkoloni mweusi.. Asante chadema, asante mbowe, asante ukawa, asante lowassa, safari ya matumaini season 2.. here we go
 
"Kama ndoto!!" LA! Kumbe ni kweli. Vijiwe vya kahawa hapa Moro wana ccm wamejificha Lowassa ndo habari ya mjini. Ila tuombe Mungu atupitishe salama tuingize serikali mpya madarakani.
 
Wengine tumeanzapiga nyumbazetu rangi zachadema

We mwenyekiti anaaapa kwaniyeye mjinga amwachelowassa na mamillion m ntakuwa mpumbavu kumpuuza mbowe

Mnaitaji mpakarangi mzuri we rangi zachama nipm
 
Wengine tumeanzapiga nyumbazetu rangi zachadema

We mwenyekiti anaaapa kwaniyeye mjinga amwachelowassa na mamillion m ntakuwa mpumbavu kumpuuza mbowe

Mnaitaji mpakarangi mzuri we rangi zachama nipm

ng'ombe wataongezeka dar es salaam
 
Back
Top Bottom