Baada ya Lowassa kuhama CCM hali ilivyo Monduli

Baada ya Lowassa kuhama CCM hali ilivyo Monduli

Hata mi nilijua tu magamba wangempitisha ukawa wasingepata kitu mapema. Yule hata ka utafiti nilikofanya wengi walikua wana mwamini licha ya kuchafuliwa aisee

Ulikuwa ukijaribu kujichanganya na watu wa kawaida kabisa huko mtaani huwaelezi kitu kwa Lowassa..

Huu Mzee anapendwa bana..
 
Yaan hapa kwetu ni furaha tupu na tupo kama watu 50 hiv tunapanga tuamke saa 9 tukawah namba ya BVR maana tuna usongo wa kumuondoa mkoloni mweusi.. Asante chadema, asante mbowe, asante ukawa, asante lowassa, safari ya matumaini season 2.. here we go

Safi sanaa, kujiandikisha ndio mpango mzima.
 
Ulikuwa ukijaribu kujichanganya na watu wa kawaida kabisa huko mtaani huwaelezi kitu kwa Lowassa..

Huu Mzee anapendwa bana..
Yani watu wa kawaida sana wana mwamini hata aliyofanya. Nadhani uongozi ni kukubalika na akiongea kauli yake ni ya mamlaka kila mtu anatii kuwa kiongozi kasema.
Ana heshima yake flani aiseee
 
Tuombe Mungu kwel safar ake iwe ni kwa ajili ya matumain ya wa tz wote though hali sio shwar san kwa pande zote mbili
 
Shughuli gani ucku huu,ama ndugu upo ulipo ni mchana?
Naona ujio wa Lowassa ukawa umekuchanganya.

kumbuka kwenye swali muda haukutajwa/haukuulizwa... So ht mm naweza nkasema wanaendelea na shughul zao kawaida na usijudge coz haina limit kwa muda gan mpk mda gan.
 
Tatizo langu mimi lilikuwa CCM sio Lowassa.. Angepitishwa kule upinzani tungeshindwa mapema sana
Hahahaa haya basi maombi yako yamekubaliwa.
Mzee wangu kaja UKAWA kuleta mabadiliko ya ukweli.
 
Katika watu waliokasirika ni mimi,,,sijui hasira zangu nizitolee wapi?Dahh anyway leo Lowasa anamalizwa watanzania wajue huyu ni mtu wa namna gani.#tukutaneoctober31
 
Siasa bwana!! Ila nimeona Tanzania watu wengi elimu ya kupambanua mambo ama ni ndogo kutokana na kiwango. Cha elimu au kusudi kutokana na kukumbatia udini au ukabila, na hili lisipoangaliwa litakua janga la taifa letu, mfano mi si mshabiki ila kwa utafiti wangu nimeona wachaga wengi ni chadema, naona ni wapare tu ndio wamejitenganisha, je huu ni ukabila, ujinga au vyote? Na kama nchi hii itaenda kwa mtindo huu si ndio nchi itaenda kumwagika vipande vipande kama unguja na pemba,! Lowassa kaenda cdm nasikia na waarusha nao wanamfuata! Ningeelewa zaidi kama wangekuwa ni wa jimboni kwake tu ! Tufanyeje ili hali hii isiendelee?

Nyie ndo walewale? Mnaongwa ili muingize sera mbovu ya udini. Utafiti gani wewe umefanya zaidi ya kutaka kuandika na wewe usikike! Utajiju mwaka huu na ukabila wako.
 
Hizi shangwe zoote zitakuwa na maana! mkijiandikisha jamani chukuen cad october mfanye kwa vitendo!
Isiwe kama KILI AWARDS watu walilalamikia tuzo 5 za Kiba wakaona kapendelewa ilikuwa apate Diamond wakatikura hawakupiga!
 
Wewe nae bwana tutokee hapa na ukabila wako.
Kwani umesikia ni waarusha wamehama nae tu? Na ni kwanini wawe waarusha tu?
Kiufupi ni nchi nzima imezizima na Afrika mashariki yote kiujumla.[/QUOTE]

yaani mie mngoni nnaeshangilia jee..?tena mama angu mkubwa kapita UWT CCM kua mbunge ila mie ndo chadema damu damu!
 
Back
Top Bottom