Baada ya Lowassa kuhama CCM hali ilivyo Monduli

Duuuh! Mimi mwenzio namuelewa huyu mzee kitambo sana.Hata hivyo hakijaharibikia kitu, here we go.

Halafu wee binti nakuzimia ujue!
CC. nifah
Ni PM basi!
 
Last edited by a moderator:
Professor mmoja kutoka chuo kikuu! Alikuwa studio za BBC dar es salaam! Anaulizwa na Zuhura Yunus! Jamaa anaeleza kwa hisia za furaha mpaka hazifichiki! !!! Kwa kweli acha upepo wa siasa za Tz ubadilike kidogo! !!!
 
Hahahaha hata me nimemsikia.
 
Nipo mwanza huku ni full sherehe kila kona Lowasa Lowasa wanasema alionewa sana
Mimi ile siku aliyokatwa nilishindwa hata kula daku!
Kesho yake ndio nilishinda kitandani kwa kuuguli maumivu, balaa ni pale nilipokua nikiangalia tv naona Kikwete anacheka cheko ambalo ni kejeli kwa Lowassa!
Mungu wangu, sitaki kuikumbuka hii siku kabisa....
Hata hivyo sio kitu tena, asante Lowassa kwa kuirudisha furaha iliyokua imepotea.
 
Nimekuja kugundua Lowassa ana charisma ya ajabu anapendwa sana huyu jamaa alafu anasikilizwa ajabu.
Huu ni mwaka wa Lowassa, walijaribu kumzima lakini mzee wa maamuzi magumu kafanya yake.
Panapo ukweli uongo utajitenga tu, sipati picha hali ikoje Lumumba.
 
Mimi ile siku aliyokatwa nilishindwa hata kula daku!
Kesho yake ndio nilishinda kitandani kwa kuuguli maumivu, balaa ni pale nilipokua nikiangalia tv naona Kikwete anacheka cheko ambalo ni kejeli kwa Lowassa!
Mungu wangu, sitaki kuikumbuka hii siku kabisa....
Hata hivyo sio kitu tena, asante Lowassa kwa kuirudisha furaha iliyokua imepotea.

Pole mpendwa ucjal tena safari ya matumain part 2 imeanza tena
 
Professor mmoja kutoka chuo kikuu! Alikuwa studio za BBC dar es salaam! Anaulizwa na Zuhura Yunus! Jamaa anaeleza kwa hisia za furaha mpaka hazifichiki! !!! Kwa kweli acha upepo wa siasa za Tz ubadilike kidogo! !!!

Kitila mkumbo ameshindwa kujificha pia pale klauzi tivi
 
Back
Top Bottom