nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
huku songea watu wengi wanafuraha hasa vijana na kinamama...
Sio ball position tu, na goal 7-0.Ngoja tuwasubir kesho watareact vipi maana washapanic coz now kama ni mpira tunaongoza kwa ball posesion
Sio ball position tu, na goal 7-0.
Teh teh raha sana kwakweli hii siku ya leo nitaiandika katika diary kwa wino mwekundu!
Tuko pamoja katika hili.Yaani leo ni rahaaaaaaaaa
Mimi kichinjio tayari...nilipata bahati maana uandikishaji unafanyika nje kwetu.Ni bahati iliyoje...
Kesho nikachukue kichinjiochangu..cha octoba
Nihesabu na mie nimo katika safari ya matumaini part 2 bila shaka.hata wewe nifah hahahaaa nimefurahi
Watu wanapandisha mori. Wanakula kiloriti
Tuko pamoja katika hili.Yaani leo ni rahaaaaaaaaa
Khaaaa! Nilikua nakuwazia tu utakujaje leo.Teh teh teh teh
Duuuh! Mimi mwenzio namuelewa huyu mzee kitambo sana.Hata hivyo hakijaharibikia kitu, here we go.
HahahaaaaaHalafu wee binti nakuzimia ujue!
Khaaaa! Nilikua nakuwazia tu utakujaje leo.
Bado tu hujanikubali?