Baada ya Lowassa kuhama CCM hali ilivyo Monduli

Yaani niko uchi, rombo nje lirefu, naruka ruka, mamaaa kafurahiii sana leo yuko kwa wakwee...mm napiga konyagi, mbusi na nimedindaaaaaa...kwa furahaaaa na rahaaaaaaaaa..... hapa leo silaliiiiiii...sikai, sioni, sisikiiiiii, sielewi,... naona Tanzania mpyaaaaaaaaaa...alafu nacheza PEOPLEEEEESSSS POWER...
Uwiiiiiii jamani hii ni kali kuliko!
 
Anatumia jina gani cmpati. Kumbe nae ashabatizwa na kuondolewa kunguni wa CCM
Hilo hilo na kafurahi sana mbona? Kuna ule uzi wa ujio wa Lowassa Chadema....kamcheki kule.
 
binafs kinacho nishangaza nimeshuhudia hapa korogwe wana ccm wanavyo shangilia inamaana ccm itaadhibiwa na wana ccm pia.
Acha yawarudie.Huyu mzee walitaka kumbania wakati huu mwaka ni wake.
 
Woyoooooooooooooooo

Richard Mugizi ni Team Lowassa teh teh teh

:rockon::rockon::rockon::rockon::rockon::heh::heh::heh::heh::heh:
 
Kwa wana jamii forum naomba mtujuze hali ilivo baada ya tukio la Lowassa kuhamia chadema,, nakumbuka madiwani walivorudisha kadi baada ya kukatwa, muitikio ukoje baada ya kuhamia chadema!?

Siasa bwana!! Ila nimeona Tanzania watu wengi elimu ya kupambanua mambo ama ni ndogo kutokana na kiwango. Cha elimu au kusudi kutokana na kukumbatia udini au ukabila, na hili lisipoangaliwa litakua janga la taifa letu, mfano mi si mshabiki ila kwa utafiti wangu nimeona wachaga wengi ni chadema, naona ni wapare tu ndio wamejitenganisha, je huu ni ukabila, ujinga au vyote? Na kama nchi hii itaenda kwa mtindo huu si ndio nchi itaenda kumwagika vipande vipande kama unguja na pemba,! Lowassa kaenda cdm nasikia na waarusha nao wanamfuata! Ningeelewa zaidi kama wangekuwa ni wa jimboni kwake tu ! Tufanyeje ili hali hii isiendelee?
 
Lowasa ndo mpango mzima...yaan leo nimewahi kutoka kazini mapema na kupita kwenye vijiwe vingi hapa mwanza yaan ni raha sana...watu wamemkubali sana lowassa na pia hotuba ya mbowe imesaidia sana.
 
Sio ball position tu, na goal 7-0.
Teh teh raha sana kwakweli hii siku ya leo nitaiandika katika diary kwa wino mwekundu!

Siyo ball position ndgu ni ball possession, bt sorry!
 
Siasa bwana!! Ila nimeona Tanzania watu wengi elimu ya kupambanua mambo ama ni ndogo kutokana na kiwango. Cha elimu au kusudi kutokana na kukumbatia udini au ukabila, na hili lisipoangaliwa litakua janga la taifa letu, mfano mi si mshabiki ila kwa utafiti wangu nimeona wachaga wengi ni chadema, naona ni wapare tu ndio wamejitenganisha, je huu ni ukabila, ujinga au vyote? Na kama nchi hii itaenda kwa mtindo huu si ndio nchi itaenda kumwagika vipande vipande kama unguja na pemba,! Lowassa kaenda cdm nasikia na waarusha nao wanamfuata! Ningeelewa zaidi kama wangekuwa ni wa jimboni kwake tu ! Tufanyeje ili hali hii isiendelee?

Tutajadili keshooo.karibu ndafu na gordons hapa.
 
[/QUOTE]
Wewe nae bwana tutokee hapa na ukabila wako.
Kwani umesikia ni waarusha wamehama nae tu? Na ni kwanini wawe waarusha tu?
Kiufupi ni nchi nzima imezizima na Afrika mashariki yote kiujumla.

Back
Top Bottom