Baada ya Lowassa kuhama CCM hali ilivyo Monduli

Baada ya Lowassa kuhama CCM hali ilivyo Monduli

Hiyo kadi itie kiberiti... Nimeshuka Arusha asubuhi hii yaani kila kona ni shangwe tu.. Nitaanza kupeleka kadi kwa babu zako pale nikirudi nakuja na yako..

Wale brokers wote pale mtaani kwenu leo wanatoa bia za bure bure tu teh teh
hahahahah aisee brokers lazima wakubali mzikiii huu na hivi nasikia umeshaukwaa u-campaign manager lol...ukimaliza huko uje huku maskan kutupa ofaa..safarii hii sikuachii ng'oo tule wote tu hizo neema
 
hahahahahaha bigger is better.. Neema ni kuiona Tanzania mpya..

Hakuna kuachana kama Mama Regina alivyong'ang'ana na Mmewe..
 
Kwa kweli Mambo ambayo macho hayajawahi kushuhudia, masikio hayajawahi kuona na hata kuyawaza moyoni ndiyo tunayoenda kuyashuhudia 2015 October
 
The Babylonian Kingdom doomed to fall, anguko kubwa sana. Ngome kongwe imeanguka
 
El sio malaika lakini ni binadamu aliechaguliwa na mungu kuwaongoza binadamu wenzake ww ulieuliza km el ni malaika
 
Back
Top Bottom