Baada ya Lowassa kuhama CCM hali ilivyo Monduli

Baada ya Lowassa kuhama CCM hali ilivyo Monduli

safar ya matumain inaendelea hakun kuisha hyo ni mpaka ikuluuuuuuuuuuuuu
 
Kwa wana jamii forum naomba mtujuze hali ilivo baada ya tukio la Lowassa kuhamia chadema,, nakumbuka madiwani walivorudisha kadi baada ya kukatwa, muitikio ukoje baada ya kuhamia chadema!?


Mwaka huu ni mwaka wa minyukano ya UKANDA.
 
Wewe pia.....lol..
Nimefurahi sana...
Kumuona bint wa king for real
Hahahaa hayo tuyaache bwana tuongee kulingana na muktadha...huku ni siasani tuongee siasa.
 
Niko mererani huku nishangwe sana yani kila kona ukipita watu wanakua kama washapata ushindi... Migungani,songambele,k'moyo, losenya hadi mbuguni nimepita nihoyeee hoyeeee

Safi sana man ambao hawa amini kesho wasikilize stori za kitaa
 
Safari ya matumaini imeanza tena baada ya kubafilisha chombo cha usafiri. Kila la kheri!
 
Safari ya matumaini imeanza tena baada ya kubadilisha chombo cha usafiri. Kila la kheri!
 
Huyu jamaa ni charismatic leader ,Sakina ukitaja Ccm unaweza ukapigwa
 
Aisee jana nliblem saana ukawa, nlimblem saana mbowe, but leo nmemsikiliza mbowe kwa makini....
Nmekubali..
Duuuh! Mimi mwenzio namuelewa huyu mzee kitambo sana.Hata hivyo hakijaharibikia kitu, here we go.
 
Back
Top Bottom