Baada ya Lowassa kuhama CCM hali ilivyo Monduli

Baada ya Lowassa kuhama CCM hali ilivyo Monduli

nishikieni siti nakuja kuendelea na safari ya matumaini ngoja nikayang'ong'e kwanza
 
Rafiki Hapa Makuyuni wafugaji imechanga ngombe 10 iko nachinja kesho furaha sana na sherekea rafiki. karibu sana rafiki
 
Siasa bwana!! Ila nimeona Tanzania watu wengi elimu ya kupambanua mambo ama ni ndogo kutokana na kiwango. Cha elimu au kusudi kutokana na kukumbatia udini au ukabila, na hili lisipoangaliwa litakua janga la taifa letu, mfano mi si mshabiki ila kwa utafiti wangu nimeona wachaga wengi ni chadema, naona ni wapare tu ndio wamejitenganisha, je huu ni ukabila, ujinga au vyote? Na kama nchi hii itaenda kwa mtindo huu si ndio nchi itaenda kumwagika vipande vipande kama unguja na pemba,! Lowassa kaenda cdm nasikia na waarusha nao wanamfuata! Ningeelewa zaidi kama wangekuwa ni wa jimboni kwake tu ! Tufanyeje ili hali hii isiendelee?

Acha kutuletea ukabila mkuu hauna nafasi Tanzania walioko mwanza ni wachaga walioko Tanga ni wachaga fungua bongo lako.
 
yan acha tu, watu wana press tu ze ball yan, yan ni one touch one touch tu...tap, tap, tap, mara ndukiiiiiiiiiiiiii..........wayaaaaaaaaaaaa!!!

Kama Ronaldoooooo, hahaha
 
Lowasa ameanga mmba eka iruwa.
lalu nyebaara bia tubu mmawomi, kinu cha mai. kocha kosinde lowasa koshyamya kouye lowasa...

Lowasa kooooocha saa, kooocha chofu ya ntudu!! kotana chau nginiiini!!
 
Dah furaha sana nasubiri hiyo october na vichinjio vyetu tukafanye kweli.
 
Back
Top Bottom