Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,592
- 15,485
Karibu kwenye safari ya Uhakika sasa
Sisi leo huku ni sherehe
Karibu kwenye safari ya Uhakika sasa
Nnyinda ro meku kunu nfull sherehe Babaaa vandu vakenwa bia kila andu nlowasa aise shekee kunu mwanza
Nimekunywa DOMPO chupa tatu mpaka sasa sisikii kulewa! LOWASSA asante baba!
Nimekunywa DOMPO chupa tatu mpaka sasa sisikii kulewa! LOWASSA asante baba!
Paah naniinga niito ofa ya bia???
Mimi ni mwana ukawa kitambo, ila kwa Lowassa ndio zaidi.
Namkubali sana huyu mzee wa ukweli.
Nimekunywa DOMPO chupa tatu mpaka sasa sisikii kulewa! LOWASSA asante baba!
Nimekunywa DOMPO chupa tatu mpaka sasa sisikii kulewa! LOWASSA asante baba!
Sisi leo huku ni sherehe
Professor mmoja kutoka chuo kikuu! Alikuwa studio za BBC dar es salaam! Anaulizwa na Zuhura Yunus! Jamaa anaeleza kwa hisia za furaha mpaka hazifichiki! !!! Kwa kweli acha upepo wa siasa za Tz ubadilike kidogo! !!!
Khaaaa! Hukubali kushindwa tu? Nipe credits zangu bwana!
Hujamuona laki si pesa? Mbona keshahama kitambo?Mkuu sikuelewi na wewe mgeni wetu au? Alaf nazan laki si pesa kabadili jina au kajitoa humu kwa aibu naomba unitaftie kamanda MUSSA ALLAN
Nimekunywa DOMPO chupa tatu mpaka sasa sisikii kulewa! LOWASSA asante baba!
Hahahaaaaa mkuu nimecheka sana.Siku ya Kupiga kura Lazima niwe na Kalamu mbili mfukoni (Nyeusi na Blue). Make hawa wasimamizi wa sisiem hawakawii kusema karamu zimeisha!
Fasta nachomoa zangu. Bonge la Tick CHADEMA ( EL)
Hujamuona laki si pesa? Mbona keshahama kitambo?
ucje sahau kwako[/QUOTE]sumbai;13437522]Leo nakunywaa bia pakaaaaa....safar ya matumaini imerejeaa