Unavuta shuka asubuhi?Nimekuwa kazini Kwa zaidi ya miaka thelathini na sita, mwaka Jana nimestaafu nimelipwa mafao yangu nikazifix benk mwaka mmoja baadae nataka nizitoe nifanye biashara, naomba ushauri wenu ziko zaidi ya 80m
Hakuna namnaUnavuta shuka asubuhi?
Is worse. Betting is a trap. The principle of every trap is the same. It's easy to get in but difficult to get out. Once you are in there is no way you can get out until you loose your last coin.Betting!!
Invest kwenye bonds 50% ya pesa yako huna experience wala knowledge kaa china tafuta unatak kufanya biashara gan anza kidogo... Anza kujifunza daily huku hamna fixed return..Nimekuwa kazini Kwa zaidi ya miaka thelathini na sita, mwaka Jana nimestaafu nimelipwa mafao yangu nikazifix benk mwaka mmoja baadae nataka nizitoe nifanye biashara, naomba ushauri wenu ziko zaidi ya 80m
Ni kwelii anahitaji utulivu na kuwekeza kwenye usalama as bonds na kama kwel anatak kufanya biashara aanze kidogo atajua tofauti ya kaz na biashara ipojeDon't dare kuingia kwenye biashara, kama miaka hiyo yote hukufanya biashara achana nayo kabisa,,tumia hiyo pesa kidogo kidogo tu na tumia muda mwingi kuomba MUNGU , biashara ni complex sana kama huamini , buni biashara hata ya ten m, utapata shule nzito sana
Asipopeleka Utt ataipoteza hiyo pesa, Utt ni kwa ajili ya wastaafu.Jforums kuna ma agents wa UTT kuwa makini nao mkuu hao kazi yao ni kupromote mfuko wao ili uwape pesa wakuze mitaji yao
Mil 270 na ushee sio miaIla serikali ni wanyonyaji sana kiinua mgongo cha 80M kwa kukutumikisha kwa miaka 32.
Halafu wabunge wanavuta kiinua mgongo cha milioni mia na ushee kwa miaka 5 tu.
Nakushauri kwa umri huo kama ulikuwa haufanyi biashara yoyote ile zaidi ya hicho kibarua chako na tayari umeshajenga na kumaliza kusomesha vijana wako achana na habari za biashara nunua gari ya kutembelea kisha kula bata.
No Reform No Election
Jamii forum ni uwanja mpana sana Kuna watu wa Kila aina, ushauri wenu ni wa muhimu sana kwangu naendelea kusoma comments zenu, mwaka mzima nimekaa tu nyumbani sasa nataka niwe na cha kufanya asanteni sana
Hata wafanya biashara wafanya kaz wao wanalia pia wananyonywaa kila mtu ashinde mech zake 😂😂Ila serikali ni wanyonyaji sana kiinua mgongo cha 80M kwa kukutumikisha kwa miaka 32.
Halafu wabunge wanavuta kiinua mgongo cha milioni mia na ushee kwa miaka 5 tu.
Nakushauri kwa umri huo kama ulikuwa haufanyi biashara yoyote ile zaidi ya hicho kibarua chako na tayari umeshajenga na kumaliza kusomesha vijana wako achana na habari za biashara nunua gari ya kutembelea kisha kula bata.
No Reform No Election
Maanina zao ndio maana wanatoanaga rohoMil 270 na ushee sio mia
Hata wafanya biashara wafanya kaz wao wanalia pia wananyonywaa kila mtu ashinde mech zake
Nimekuwa kazini Kwa zaidi ya miaka thelathini na sita, mwaka Jana nimestaafu nimelipwa mafao yangu nikazifix benk mwaka mmoja baadae nataka nizitoe nifanye biashara, naomba ushauri wenu ziko zaidi ya 80m
huyo ni Poor Brain mkuu, usimchulie serios sana.Wewe unayejifanya kutoa ushauri yawekana hata milioni 5 huna! Bagosha?
Kwahyo unapotosha umma kama mimi ni poor brain 🤣🤣🤣🤣🤣huyo ni Poor Brain mkuu, usimchulie serios sana.
Asante kwa ushauri mzuriMzee wangu hongera kwa kustaafu 100 umeipata kwa miaka 36 upo tayari kuipoteza ktk biashara withini 1 yr? Kama upo tayar kutake that risk then let's us going on kukushauri. Umri wako kwa sasa hutakiwi stress utakufa mapema unatakiwa ufanye vitu soft. Gawa pesa nusu weka ktk mifuko yenye kuzalisha bila risk kubwa mfano utt,n.k then nusu tafuta eneo potential kwa kilimo na ufugaji nunua ata kama porini then anza kidgo kidgo
Kama una watoto pia wasapoti ili waeze kuinuka fasta wakopeshe.
Angalia fursa zinazokuzunguka nunua maeneo. Kama biashar haicost zaid ya 2ml invest tu ikizalisha fungua tena ingine na ingine. Enjoy life fanya mazoez kula vizuri safiri kupata hewa safi ,reflect
Mambo ya risk tuachie vijana we sasa ivi ilitakiwa uwe mtu wa kutembelea miradi yako ulio invest