Hapana! Wala siko huko. Sasa wewe unamshauri afuge kuku wa nyama kumbe mtu mwenyewe yuko Mwakipopo! Kwa mfano angesema niko Njombe sasa hapo watu wangemshauri vizuri! Unajiita billionaire lakini bado una akili za kipumbavu!Naona unaangalia mazingira ya kumtapeli jamaa
Mimi pia nimefuga Sana SUNGURA na SIMBILISI.Toka nikiwa na miaka 8 nafuga sungura nakuuza na kuku kwa faida hivyo nina uzoefu wa miaka 35 na zaidi
Sema min me una utani sana..Toka nikiwa na miaka 8 nafuga sungura nakuuza na kuku kwa faida hivyo nina uzoefu wa miaka 35 na zaidi
😂😂😂😂😂😂😂😂 Kuna mwanangu sana kadanganywa na filter huko instagram mpaka sasa kachanganyikiwa unaambiwa 😂😂😂😂😂Dogo kabebe tofali, umemchenga fundi wako saahizi hana kibarua huko. umesingizia umeenda chooni ili uingie JF kuwashauri watu kuhusu mambo ya fedha
Mawazo mazuri kabisa, aliyotoa ndugu min -me
Kwahiyo 80 mio ni ndogo ? Kwa biashara unajua kuna watu wana import kwa 80mio ? Na wanazungusha hiyo hela ?Mmmh milion 80 mbona kama bado hvi kwa biashara serious mkuu..
Naomba fanya hv tafuta tafuta upate hata milion 100 hv ndo uje tukupe ushauri
Evelyn Salt
Asitafute stress sahivi afanye hivi na kilimo au kitu akipendacho kidogo maisha yaende.Kwenye kustaaafu kuna chamgamoto nyingi sana ambazo zinaweza kukuletea msongo wa mawazo
Nakushauri fanya haya kama ukiweza
1. Usianzishe biashara ambayo itahitaji mtaji mkubwa au nusu ya hela uliyonayo na hujawahi kuifanya hiyo biashara
2. Kama unaweza fungua akaunti nyingine iwe kama fixed halafu uwe kama unajilipa mshahara ili kuweza kujikimu
Mfano unaweza fanya uwe unajilipa kwa mwezi kiasi cha tsh 800k
Kama ifuatavyo
Kila tar 15 unaingiziwa tsh 300k
Kila tar 28 unaingiziwa tsh 500k
Kwa miaka mi 5 hiyo ni tsh 48m
Inayobaki unaweza angalia nini cha kufanya
3. Unaweza nunua bond za serikali za miaka 25 ambazo zinakupa interest ya mwaka ya 15% ambapo risk yake ni almost zero
Mfano,ukiweka kiasi cha tsh 60mil kwa interest ya 15% utapata faida ya tsh 9mil kwa mwaka sawa na tsh 750k kila mwezi hiyo bila kuathiri mtaji wako ulio uweka. Hii ina maana unaweza kujilipa tsh 750k kila mwezi na mil 60 iko pale pale wakati huo umetenga tsh 20mil iliyobaki kwaajili ya biashara na shughuli zingine
4. Nikupe hii ya mwisho kabisa
Maana nikisema niandike zote hapata tosha
Nenda kajisajili na utt amis na ufungue akaunti ya bond fund ambapo unanunua vipande na kupata faida ya si chini ya asilimia 12 kwa mwaka
-gawio lake la faida ni kila mwezi, kila baada ya miezi 3, 6 au 12 kwa jinsi utakavyotaka
-pia vipande vyako ni dhamana unaweza kutumia kuchukulia mkopo bank
- na ukihitaji
Subscribed threads
pesa yako unaweza uza vipande na kuipata ndani ya muda mfupi
Weka utt Kila mwezi 1% profitNimekuwa kazini Kwa zaidi ya miaka thelathini na sita, mwaka Jana nimestaafu nimelipwa mafao yangu nikazifix benk mwaka mmoja baadae nataka nizitoe nifanye biashara, naomba ushauri wenu ziko zaidi ya 80m
Acha uongo!Nimekuwa kazini Kwa zaidi ya miaka thelathini na sita, mwaka Jana nimestaafu nimelipwa mafao yangu nikazifix benk mwaka mmoja baadae nataka nizitoe nifanye biashara, naomba ushauri wenu ziko zaidi ya 80m
Please focus kwa hii pia ongezea na maji na majuisi ya kiwandani watu wanapenda vitu visivyo na mana ama hasi Kama ilivyo kuongea mabaya yako kuliko mazuri yakoFungua biashara ya kuuza bia na soda kwa jumla na rejareja; haitakuumiza kichwa na haiozi.
Anza na kreti 200
😁😁Sema min me una utani sana..
Sasa kulikua na ulazima gani wa kuweka umri hapo 😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌
Kabisa dokta mwisho wa siku tunalewa kwa pamoja🤣🤣Mimi pia nimefuga Sana SUNGURA na SIMBILISI.
SUNGURA vitoto vinazaliwa kama vipanya.. SUNGURA uchimba shimo na kuzaa pia huweza kuzaa nje kwa kukusanya box ama mufti miti na kujinyonyoa
Nimefuga njiwa Sanaa mkuu kumbe tuna back ground sawa
PointPesa ya biashara haitaji kujaa ili uanze , biashara inapaswa kuanza kidogo na kukua , hata hizo 80 simshauri atie zote kwenye biashara
Ah wapiNi mfanya biashara mzoefu..
Kama unaona nipo hapa kukuzihaki chunga sana
Vinywaji changamshi woyeee oyeeee 😁Kabisa dokta mwisho wa siku tunalewa kwa pamoja🤣🤣